AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Ahsante sana kwa hilo some, pia umesahau kwamba wanawake ni mtihani mkubwa kwa wanaumme kuzidi mtihani wowote zaidi ya 90% yawana umme wemeshindwa maisha kwa kushindwa kufailu mtihani wa wake zao, wengi wamekufa mapema kwasbb ya hao viumbe.Alhamdulillaah ALLAAH ALIPOTUAMBIA
"... هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمۡ وَأَنتُمۡ لِبَاسٌ لَّهُنَّۗ... "
"Wake zenu ni vazi lenu na ninyi ni vazi leo"
Katika elimu ya TAFSIRI YA QURAN... Yanapotajwa mambo mawili yenye kufanana kwa pamoja... Lile lilitojwa mwanzo zaidi linakuwa lina NGUVU ZAIDI(lina ubora zaidi) kuliko la pili... (Allaah ni mjuzi zaidi kwa sababu mimi nina upungufu katika ufahamu)
Kwahiyo hapa tunaona wameanza kutajwa WANAWAKE NI VAZI KWENU...
Kwa upambanuzi zaidi na ushahidi halisi wa kimaumbile tunalishuhudia hili...
Hakuna kiumbe kilichobeba siri nyingi za kustaajabisha kama mwanamke... Hasa siri za mwanaume.
Mwanamke ana mume wake anaishi nae ndani kwake chumba kimoja... Huenda huku nje huyu mume ni mbabe mwenye nguvu na mazoezi, mtanashati, MHESHIMIWA, kiongozi mkubwa, mstaarabu, mkorofi...
Lakini ukipata nafasi ukamsikiliza mke wake akakueleza HEKAHEKA za mumewe huyo... Hutoamini ni huyu huyu bwana ndivyo alivyo hivi...?
Kuna wanaume wana vituko ninyi... Vipo vituko vya kufurahisha na kusikitisha...
Lakini huo mzigo wote aubeba mkewe...
Mfano:- Huwa kuna kesi zinanifikiaga ofisini kwangu mke aja kulalamika... Au naposuluhusisha... Unakuta kuna mwanaume akipanda kitandani kulala alala kwa kukatiza kitanda alafu anajitanua miguu imetawanyika na mikono pia... Alafu mkewe atafute pa kwenda kulala...
Mwingine alalamikiwa ndio hivyo mke hafiki popote mumewe ni mzito wa safari... Yaani kidogo tu hawezi tena... Afadhali hata hii...
Ila vingine ni aibu kuelezea... Maana WAKE ZETU WAKUTANA NA HEKAHEKA ZA KILA AINA... NA WANAWASTIRI WAUME ZAO...
Tukisema tufungue mlango waseme wanayokumbana nayo... Utaziba mdomo ukistaajabu... Mbaya zaidi ukimjua ndio huyu huyu bwana kweli...?
Sisi wanaume tuna changamoto nyingi sana kwa wake zetu... Ila Allaah kawapa subra wanatustiri(ukiacha wachache sana waovu)... Kuliko hata changamoto zao kwetu... Lakini sisi uvumilivu ni mdogo kutwa kuwalalamikia....
MPENDE NA MHESHIMU MKEO... Maana Wewe mwenyewe na nafsi yako unajua una changamoto gani kwake, ila amekunyutia tu hasemi anakuvumilia na kukustiri heshima yako... KWA HILO MPE HESHIMA YAKE... ALAFU MVUMILIE KWA CHANGAMOTO ZAKE CHACHE... YA KWAKO AMEBEBA MAKUBWA SANA...
Hivi una uhakika gani kwamba toka umemuoa kuna siku ulishawahi mfikisha pale atakapo... Au ndio vile basi tu?
MWISHO MSHUKURU ALLAAH KWA NEEMA YA VAZI LA MAISHA YAKO... VAZI LINALOSTIRI UCHI WAKO...
VAZI LENYEWE NI MKEO...
ALLAAH ATUONGOZE...
Kaka dini inakuruhusu kuketi faragha na mke wa mtu?Alhamdulillaah ALLAAH ALIPOTUAMBIA

Hairuhusiwi...
Its okay.Nonsense
Allaah kasema,Ahsante sana kwa hilo some, pia umesahau kwamba wanawake ni mtihani mkubwa kwa wanaumme kuzidi mtihani wowote zaidi ya 90% yawana umme wemeshindwa maisha kwa kushindwa kufailu mtihani wa wake zao, wengi wamekufa mapema kwasbb ya hao viumbe.
Mkuu hebu acha utani,Allaah kasema,
"ما أصابكم من مصيبة إلا بما كسبت أيديكم"
Ukiona tatizo lolote lile... Chanzo ni wewe mwenyewe.
Konde ni sehemu unayopandisha mazao na ukavuna/ukapata faida.Allah huyo huyo alisema wanawake ni kama konde zenu.
Hivyo watu wametumia hilo neno kula kisamvu wake zao hasa maeneo ya pwani na uarabuni pamoja na kuoa wanawake under 14
Sawa mtakuja ona...Mkuu hebu acha utani,
Hii aya mbona umeikosea kuandik kiarabu chakeAllaah kasema,
"ما أصابكم من مصيبة إلا بما كسبت أيديكم"
Ukiona tatizo lolote lile... Chanzo ni wewe mwenyewe.
Nimekosea ni فبما sio إلا.Hii aya mbona umeikosea kuandik kiarabu chake
Ndio nafahamu... Hii ndio jamii tuliyonayo...Hawatakuelewa kabisa mleta mada.