patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 575
Una umri gani? umeoa? una wazazi? una madada? uneshawahi kusomesha mtoto wa ndugu yako yeyote yule? Hebu toa hayo majibu then we can takr from there
Labda nimuulize mtoa mada, je hii ni stori ya jirani, mama yako au mke wako? Au ni mchanganyiko wa matukio toka kwa watu mbalimbali unamjudge nayo mtu mmoja?
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
Hapa ndio hasa roho mbaya yetu inapojidhihirisha. Kilaza sana mtoa mada.1.
Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka
na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana
wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na
kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!
Ndio maana wengi ni cheaters only because of reasoning.Si
maanishi kuwatusi wanawake, ila wanawake wamekosa kitu fulani
kinachohusu reasoning kwenye brain yao, So, mara nyingi wao huenda moja
kwa moja kwenye conclusion, huwa wanaruka reasoning kwenye kufanya
maamuzi yao, tofauti na wanaume hupitia stages zote kwenye kufanya
maamuzi.
Si maanishi kuwatusi wanawake, ila wanawake wamekosa kitu fulani kinachohusu reasoning kwenye brain yao, So, mara nyingi wao huenda moja kwa moja kwenye conclusion, huwa wanaruka reasoning kwenye kufanya maamuzi yao, tofauti na wanaume hupitia stages zote kwenye kufanya maamuzi.
We wanywa mnazi au kimpumu?
Ningekuzaa ningehakikisha nabana miguu ili utoke mfuu.
Ukweli unauma,hapo hakuna matusi wala hajatukanwa mwanamke bali ni ukweli kuhusu wanawake including his/her and our family members(girls)!!!Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....
Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..
At least hata ungesema si wote .. ..
Mbona wewe inaonekana kama inakutouch,ukisikia yalaaaaah ujue limekupata aliyelenga ni mwenyeshabaha hakufanya makosa!!!Mkuu kama unagari na ofisi acha ku ringisha
Basi ..
We unamatatizo yako binafsi unamletea kila mtu .
si useme tu nini kulikoni upewe ushauri kuliko kumwangukia kila mwanamke ..
Roho mbayaa tuuuu!!!Ningekuzaa ningehakikisha nabana miguu ili utoke mfuu.
Mbona wewe inaonekana kama inakutouch,ukisikia yalaaaaah ujue limekupata aliyelenga ni mwenyeshabaha hakufanya makosa!!!
Ukweli unauma,hapo hakuna matusi wala hajatukanwa mwanamke bali ni ukweli kuhusu wanawake including his/her and our family members(girls)!!!
ndugu zangu,
wanawake wana roho mbaya!! Kama wauza sumu! Hacheni habari zenu eti mama kanizaa ni sawa lakini kwa niliyo shuhudia kwa macho yangu..wanawake wana roho mbaya ata shetani anawaogopa! Ulishawi kuona mama wa kambo wewe! Au mnatetea tu kisa maswala ya jinsia... Sisi kule kwetu ata wachawi wengi wao kama sio wote ni wanawake
kuna mambo wanawake wanafanya hadi dunia inashangaa! Ni wana roho mbayaaaaa!
so sad to see people like you...
don't say our because some of us don't agree with what he said..
so far is your family and his...