patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 575
u better read between the lines to snatch my concept.
its a kind of prejudice mkuu. Think it before pressing the reply button.
u better read between the lines to snatch my concept.
It depends on his/her social relationship background, usiwahi kumlaumu. Kuna watu wamefikwa na makuu. May be ndo mana anasema hivyo.
Mkuu kama unagari na ofisi acha ku ringisha
Basi ..
We unamatatizo yako binafsi unamletea kila mtu .
si useme tu nini kulikoni upewe ushauri kuliko kumwangukia kila mwanamke ..
its a kind of prejudice mkuu. Think it before pressing the reply button.
Hapo nakubaliana na weweWomen! I love them and I hate them:lol:
Sikujua kama hili jukwaa siku hizi laweza tumika kama klabu cha wanywa gongo.......kila inapopanda kichwani ndipo stress za watu huchachamaa!!!
what i can say is the same, wanawake wana roho mbaya sana.
1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!
kuna ukweli hapa asee
what i can say is the same, wanawake wana roho mbaya sana.
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.