Wanawake wana roho mbaya sana

Wanawake wana roho mbaya sana

Afrondezi, utapoteza muda kwa huyo mtu; mke wake amemchanganya so ana faulty generalization kuwa wanawake wote wana roho mbaya. Kwani wanaume wote wana roho nzuri?

Haya bana mi ngoja ni mwache na thread yake.. .... ..... TA
 
hahahahaaaa!!! Eti 'mangese'..........umasikini wa fikra huo!!

si ajabu huko unawaza kumchoma moto mtoto wa mmeo uliyemkuta ulipokuja kuolewa..yaani roho mbaya zenu basi tu,mungu ndiye aliyepanga tuishi na nyie.
 
Nakupitia twende kanisani bibie!

Asante mwaya ngoja nikachukue mokasi zangu shuuuuuu shine..
Na ile gauni yangu ya zambarau mwehh..

We unautinga nini ..? Vaa ile kitenge ya manjano basi ..
 
1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!

Hapana! kukaa tumboni miezi 9, kuzaa kwa uchungu, n.k. sio hisani it is a format and there's no option, man!
 
Asante mwaya ngoja nikachukue mokasi zangu shuuuuuu shine..
Na ile gauni yangu ya zambarau mwehh..

We unautinga nini ..? Vaa ile kitenge ya manjano basi ..

Utapendezaje?? Bahati mbaya hiyo ya kitenge siku hizi inanipwaya saana, acha tu nivae ile nguo yangu ya kipaimara!!
 
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.

1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.

Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.

katika jamii mwanamke ana nafasi zote. Kwa mfano, ni mwenye huruma, mwenye upendo, mwenye msimamo, kiumbe duni, anadharaulika, ni katili n.k. Hivyo tusishangae.
 
Kutenda atende mwanaume akitenda mwanamke basi ANAROHO MBAYA
Huu ni mfumo dume tu unaosumbua hapa.

Mwwanaume akioa na akasema sitaki ndugu wa mwanamke, yeye roho yake nzuri/

N a hoyo kuchukia wanawake ni perception tu iliyo ambatana na malecheuvinism
Wanaume mtaacha lini unyanyasaji kwa wanawake?

Mkishindwa kuwacontrol mnavyotaka nyie basi wanaroho mbaya

too low!
 
Kama ulitendwa na mwanamke/binadamu ulistahili yote yaliyokupata na bado utapata tabu nyingi tu kutokana na fikra zako duni.
 
Tena kama nyie mlioenda enda shule ndo mna roho mbaya sana. Mnajifanya hamu entertain mambo ya extended family. Hivi unafikiri ulivyonikuta mimi nina kagari na kaofisi unadhani nilidondoka toka mbinguni? leo hutaki kaka zangu wala nani[/QUOTE

Mkuu mimi napingana na wewe kabisa! Mimi nimeishi na mama wa kambo, toka nikiwa na miaka 2 baada ya mama yangu kufariki. She treated like her own son and besides sijaona ktk familia yetu such things kwa wanawake wote, dada zangu, mashangazi, mama wadogo n.k.! Ningekubaliana na wewe ungesema BAADHI na sio wote.
 
Baadhi Roho mbaya e.g blandina nyoni, bi kiroboto baadhi, roho safi
 
si ajabu huko unawaza kumchoma moto mtoto wa mmeo uliyemkuta ulipokuja kuolewa..yaani roho mbaya zenu basi tu,mungu ndiye aliyepanga tuishi na nyie.
Subconcoiuosly karibu kila mwanamke anwaza hivo
 
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.

1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.

Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
hapo nilpo bold naona ndipo kwenye tatizo,lazima wazinguane
 
Back
Top Bottom