aisee, bora kuoa mwanamme
kama wanawake ndo wabaya hivi.
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....
Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..
At least hata ungesema si wote .. ..
aisee, bora kuoa mwanamme
kama wanawake ndo wabaya hivi.
Halafu mtazaa na hao wanaume wenzenu? Kama kweli tunaroho mbaya tungewaflash toka ni mimba ya miezi miwili, msingekuwepo leo hapa kujifanya vidume.
Bora yule aliyesema wakati wa kuzaa angebana zaidi ili mtoke mfuu
Wanawachukia ma housegal wanaliwa na waume zao.......
Wanawchukia Watoto wakambo wanaharibu ndoa zao kwa namna moja au nyingine.........
wanawachukia wakwe wenye tabia za kutaka kuingilia ndoa zao na mipango yao na waume zao.......
Wanawachukia mawifi wanaoingilia maisha yao na kujidai wanataka kaka yao aishi wanavyotaka wao na si anavyotaka mke na mume.....
Mwanamke endelea kuwa ngangari wasije kukupangia nyumbani kwako uishi vipi!!!!!!!!!!!!!!!
Huyo mwanamke Blandina nyoni ni tabia zake tu kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume wengine wenye roho mbaya.
Ni wazi hata kama mtabisha kuwa wanawake wana roho za ajabu hata angekuwa mama yako au yangu. Wote tumelelewa na wanawake tunawajua jinsi walivyo na mapenzi makubwa na viumbe vyao lkn vya wengine hawawahusu. Huu ni ukweli. Kama una mke au mchumba, rafiki chunguza vizuri. Usijifanye umependa sana kiasi kuwa huoni mambo hayo. Hatuna sababu ya kuwachukia kwa jinsi walivyo bali tunazidi kuwapenda ili wawe wnawke wazuri kwa tabia. Kwa maana roho mbaya nia asili yao.
Ni wazi kuwa wanaume wengi hawawaungi wapenzi wao ktk matendo yao maovu vinginevyo dunia isingekalika. Wanaume wengi wanavyofanya ni kuangalia, kusikiliza na kutoa ushauri au kukaa kimya bila kuchukua hatua kwa kile wanachowaeleza. Kila jambo analokueleza mpenzi wako sio ukweli mtupu. Hivyo pima maneno yao kabla ya kuchukua hatua.
Wanaume wengine wakiambiwa kitu mfano: (1) Huyu mdogo wako ana tabia hii au (2) huyu msichana wa kazi ni ................ au (3) Anakuja kukuambia mama yako ananiingilia ktk.................Halafu wnaume wengine walivyo mafala anaanza kuungana na wake zao kuwatimua. Chukua tahadhari na kuwa makini na uwawa-handle jinsi inavyofaa.
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
Personaly,naona kila mtu duniani ana njia yake ya kufikiri in relation to mazingira(past and present)..what you must admit is that you are wrong kugeneralize that all women wako the way you perceive them..now let me tell about this,some of us(nt i) women Hate men,you know why?.because our daddies molested us,our brothers abused us,men we loved and sacrificed all we had abondoned us when we needed them most(pregnancies,accident,alizaa mtoto mlemavu,kids got so sick etc),our bosses thought we dont have what it takes to make it than them pants off,wengine ni walemavu kisa vipigo kutoka kwa wanaume... majeraha yako mengi!can fill them pages to the limits!. so please,dont talk like y'all so innocent..if you are good,pray hard upate wa kufanana nawe,if you aint,pray hard you change!.don't judge.
Why generalising? Rafiki yangu kalelewa na kusomeshwa na mama wa kambo baada ya mamaye mzazi kutengana na babaye, baadae babaye alifariki, alibaki na mama wa kambo, alimjali kama mwanaye wa kumzaa. Kwa hiyo si wanawake wote wanastahili lawama hizo.
Mkuu LE GAGNANT,
Huo mfano wako unaweza kuapply kwa wanawake wachache sana labda mmoja kati ya mia sijawahi kuona mama wa kambo akampenda mtoto wa mwanamke mwingine.Bahati nzuri ninayo mifano mingi sana ya watoto wanavyonyanyasa na mama wa kambo sijaona hata mtoto mmoja akipewa haki zake za msingi chini ya uangalizi wa mama wa kambo.
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
haha haha, i like it. Hawafai hawa
1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.