Pale ambapo sielewi sawasawa ni mwanamke kumchukia mama mkwe wake au wifi yake. Hawa wote ni wanawake, inakuaje hapo?
kamwe tena narudia kukuonya kamwe usimlinganishe MWANAMKE NA MWANAUME
Mwanamke ana upendo wa dhati kwa watoto aliowazaa na wazazi wake...kwingine kote ni maigizo
Umenena sawa kabisa kwenye bolded.Ukweli upo,lkn si kwa wanawake wote,hasa ktk kizazi cha sasa ambacho hakipendi majukumu ya kifamilia.Pia Mungu ndiye aliyeyafanya hayo ya kwamba mtoto akae tumboni mwa mama.Kama angetaka akae kwa baba ingekuwa hivyo tu. Kwa ni2 tuwe tunalalamika na wanawake/wasichana tu ktk suala la kifamilia kuhusu malezi ya hawa watoto wa kambo na mahousegirl?!!.Kwa hiyo hiyo tabia ipo ila si kwa wanawake wote.Mwanamke kuwa na tumbo la kunitunzia mi2 haimaanishi asiwe na maelewano na wale ambao hawajakaa tumboni mwake!!
Bora mngeumbwa bila vichwa, au kichwa kisiwe na ubongo, sehemu zenu zingine bomba sana tu!Oaneni wenyewe kwa wenyewe basi!
Iyo analysis nakubaliana nayo.Mwanamke asiye katili ni yule mwenye undugu wa damu na wewe tu. Mliemuoa, mchumba au unaemgonga sio ndugu kaka! hapo lala jicho moja wazi kila siku....wengi wao vichaa tuu!
Persecutory delusion.................... Typical schizophrenia, you cant miss it!!
Signs & symptoms of Schizophrenia are here : DELUTIONS (illogical or bizarre ideas or fantasies), HALLUCINATIONS (sounds in person's mind), DISORGANIZED SPEECH (fragmented thinking, DISORGANISED BEHAVIOUR & NEGATIVE SYMPTOMS. If symptoms persists seek medical advice.
Dawa yake ni kumlaza chumba jirani na ninacholala na bintiye, usiku kucha naliza kinanda mwenyewe ataaga.3 wanaume wangapi wanaishi na wakwe zao? Hivi baba wa mkeo akihamia kuishi na wewe hapo ndani, na ajitie faza house utabaki unachekelea? Ukisema una hamu na ugali anamuambia mwanae hakuna kupika ugali usiku, .
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
pole AD,wala usikonde,its all about stereotyping!Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....
Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..
At least hata ungesema si wote .. ..
mad!!!!
Ukiona mtu anaanza kuvurumisha matusi mhurumie na msamehe maana uwezo wake wa kufikiri umefikia tamati. Pole
dogo if you feel offended by me!