Mwanamke wako akishaanza kukata mawasiliano tafuta mwingine, usitake wala kujua sababu, huo mda wa kuanza kuchunguza ni bora uanze kujiweka sop sop na kuvizia binti mwingine. ukiingia kwenye shimo la kujaribu kuchunguza ni kwann kabadilika basi jiandae kisaikolojia. Mwanamke ukihisi tu si mwaminifu, usisubiri prove nenda katafute mkali kuliko yeye. Halafu usiumie kukataliwa, ni kawaida tu kwa mwanaume wala si ishu. Una nafasi ya kutembea na binti wazuri under 25 hata ukiwa na 45 years just imagine.
Wewe si kichaa Ila ukijiendekeza kuwa unajua kupenda sana basi utakuwa kichaa.