Wanawake Wana drama hatari

Wanawake Wana drama hatari

wanaume tuna kazi sana hapo unaambiwa babe niache nilale kidogo ntakupigia au nafanya assignment ntakutafuta kumbe jamaa ana drill papuchi.
Hivi ulikuwa unamtafuna kwa kutumia ndomu au ulikuwa unaloweka tu kipindi chote hicho cha mwaka mzima?

With that being said,,pole sana..it's really hurts kuachwa na mwanamke uliyekuwa unampenda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Glenohumeral joint, Usirudie kumwamini sana Mwanamke bila kumchunguza vizuri sana.

Na hata ukishamchunguza sana usimwamini kwa 100%.

Mkasa kama huu umetukuta wengi tu.

Cha muhimu Muombe Mungu huku ukitulia halafu kuwa ''PATIENCE'' yaani uvumilivu tu huku unamwomba Mungu ndio utakusaidia.

Mungu atakupatia mwenye nafuu (Sio Malaika) ila mwenye nafuu mtakaeezana nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee sio wewe tu, mie mbona niliwahi kukutana na ishu kama yako. Tena bora wewe hukutumia mali zako kumtunza. Mie niliwahi kumhudumia hadi akawa ananitambulisha kwa mama yake na nilifika hadi home kwao mama yake alinijua lakini baadae akapindua Meza. Akarudiana na Ex wake. Wasichana wa chuo sio wa kurukia kichwa kichwa mazee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom