Wanawake Wana drama hatari

Wanawake Wana drama hatari

Naam uko sahihi... ndio maana katika para ya mwisho nilimalizia kwa,kusema kwamba hata wanaume wasaliti tupo...ila kwa topic inawahusu wanawake basi nitajikita kwa wanawake zaidi
Sio wanawake ila binadamu yoyote yule bro..
Kwenye mapenzi na Pesa ni binadamu wachache wapo loyal mkuu, watu wanaangalia interests zao tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna scenario mbili huenda kweli alikupenda kwa dhati lakini alikua tayari kasha saini mkataba kwa huyo jamaa na price ya kuuvunja huo mkataba (kumuacha jamaa ili aje kwako) hana. Kumbuka kua women wana time factor while sisi tuna financial a.k.a ndululu factor

Scenario nyingine ni huenda alikua anataka zima moto ile ya kupunguziana uzito unfortunately mkuu ukawa serious sana wakati yeye hakua hata na mawazo kama yako.

In every decision you make there is a price to pay, hii ni twisheni umeipitia kwa sababu ume fall in love kiboya. Next time kua makini, Never expect anything from any one especially wanawake kwa sababu they always think about shortcut au njia rahisi ya kutatua jambo itakayokuja kwa wakati huo ndio maana wanawake (asilimia kubwa) wapo radhi watembee hata na mizee (mfano vyuoni) ili tu wafaulu mitihani au wapate pesa za kujikimu.

Kwenye moja ya movie zake marehemu Kanumba aliwahi kusema
Never trust a woman or a disability dog.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu ila si upo Dsm? We ingia zako kariakoo, mwenge, makumbusho au m-city ukajiopolee mtoto mzuri mitaa hio usiumize kichwa sana blaza...kama vipi kesho kanunue jeans kali, t shirt na mashati makali na timberland boots au sneakers za kinyamwezi halafu wikend unaibuma zako mitaa hio au hata ufukweni mwa bahari upate mtoto mpya akukeep busy..mzee..
Ndio Niko kwenye process.....soon tu napata chombo mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa sasa heri ukatafute tu shamba ulime ukitoka huko umechoka usome Biblia kisha ukalale tu wanawake ni watu wa ovyo kabisa yaani hakuna mwanamke asiye na wapenzi wawili kuendelea ukimpata uyo basi chonga kibanda tu umfiche zaidi na pia nakupa msemo wa shem wangu

"WANAWAKE WOTE HUGAWA UCHI WAO POPOTE " Kwa hivyo usiwaweke kichwani hata kama wanakutendea maajabu
Ameen mtumishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikipewa uch* nikaachwa huwa sijutii,si nakuwa nimeshatafuna tyunda
Kuna kipindi huwa kinafika mtu unakuwa kwenye relationship sio kwa sababu ya uchi Tena Bali mipango ya baadae na binti wa watu...Sasa ukigundua madudu Kama haya ndio unaumia Sasa maana hukumpendea uchi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mwanamke mwenye bikra. Weka relationship naye.

Mkuu hutokujajuta. Utanishukuru Baadae.

kumbuka; Usioe mwanamke asiye na bikra. Miaka mia huyo sio mke bali ni Malaya.

Waliochukua wanawake bikra wananielewa nazungumzia nini. Lakini hao kina kibwangai watabisha
 
Dogo kuumizwa katika mapenzi ni sehemu tu ya maisha wala usikae ukijutia liliotokea...

Huwa ni vizuri mtu asiyekufaa akaachana nawe mapema, kuliko aje kukusumbua kwenye ndoa maana hakuna rangi utaacha ona...

Sent using Jamii Forums mobile app
Namm nashukuru nimeona saiv....n afadhari kuvunja uchumba kulko kuingia ndoa na mtu wa namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaah kuna watu ni wafia papuchi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli...niimuuliza kwann kamsamehe akasema binti n wife material....et hata binti akiwa likizo hufanya mchezo wa kwenda kwa jamaa na zawadi Kama mchele n.k....hvyo hawezi kumwacha wife material Kama huyo...

Mm nikajiuliza,hv angekuwa wife material angemchiti kwa muda wote huo?? Istoshe usiku wa tukio binti amelala namm na mshikaji akadanganywa na binti kuwa anasoma Sasa sjui n wife material kvp??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom