Wanawake Wana drama hatari

Wanawake Wana drama hatari

Siku ukimjua mwanamke vizuri ujue unakaribia kuaga dunia! Mume anamsindikiza mke wake stand/airport anapanda gari/ndege anakwenda kugongwa na mwenzie anarudi anapokelewa na mumewe vilevile na asijue kitu 🤣 🤣 🤣 🤣
Exactly,yaan hiki ndicho kilichokuwa kinatokea....jamaa anamsindikiza mpk singida stand hlf mm nampokea ubungo....Mambo n mengi muda n mchache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi jua ilikuwaje labda wali break up ndo maana binti akaamua kuwa na uyu wa chuo, usiseme amuoe nani watu wanaolewa wana makando kando mengi na magumu lakini unashangaa wapo tu wanaenjoy kwenye ndoa zao
N kweli mkuu. .maana sikuamini jamaa aliposema amemsamehe na bado anampenda sana licha ya demu kukiri usaliti alioufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom