Wanawake Wana drama hatari

Wanawake Wana drama hatari

Pole sana, ninashangaa mwanaume anaemuamini mwanamke anaekutana nae Chuo! Ndugu yangu kama umepita Chuo na ukajiachia kwa mwanamke uliyekutana nae huko nakupa pole! 90% ya wasichana wa vyuoni ni wasanii mbaya hasa hao wakutoka mikoani wanakuwa wameacha watu wao huko.

Pesa zote ulizofaidi ni za huyo aliyekuwa Mme mwenzio! Shukuru kwenda kwake likizo kumekufanya kuepuka kuumia zaidi lakini pia kwanini wanaume mnakuwa wepesi sana kuwatambulisha wanawake wa vyuoni kwa Ndugu zenu?
Mzee endelea na maisha yako upya hao wanyaturu huwawezi kabisa hao wanaitwa piga kimbia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@nipekidogo,Asante sana mkuu...maana kipindi namtambulisha dada yangu mkubwa aliniasa kuhusu wanyaturu,akasema ni wanawake vicheche Sana ila mm sikumskiliza maana I was deeply in love with her hlf na matendo ya huyu binti ya kuniigizia so nisingeweza kuona umuhimu wa ushauri ule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitakiwa kubadili Gia angani baada ya kumshutukia... Nawee ungetoka kukupenda kwa dhati...ukaja kwenye kumtumia km kipoozeo wakat una tafuta demu.


Ukiacha demu, na hauna demu, alafu ndo km wewe ivi tayar unajua mchizi anagonga... Lazima uumie.


Sema nn, jifanye kumtafuta ,umpooze..wanyaturu sio wachoyo, naamin K atakupa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom