Wanawake Wana drama hatari

Wanawake Wana drama hatari

Mkuu ndo unagundua leo maigizo ya hawa viumbe? Pole sana, usidhani watu tunaamua kuwa mabaharia tunapenda, ni kwaajiri ya upumbavu kama huo!

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 Kweli aise, kuna msela nilimkuta sehemu saa 7 ya usiku anamfuatilia demu wake baada ya kuhisi demu anamsaliti; nilibaki nasikitika tu na nikaona mapenzi ni ya kifala sana
 
Umetaja Singida na chuo nikamkumbuka mrembo fulani wazazi wake walikuwa wanafanya kazi Singida na tulikuwa tunasoma pamoja.

Likizo zetu zilikuwa zinatofautiana....basi akishafika kwao atanitumia kuku wa kukaanga kama watatu...wana niliokuwa naishi nao walimpenda kuliko mimi. Sijui yuko wapi siku hizi nadhani atakuwa mke wa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanawake wanatongozwa aseeh....wanawake wanatongozwa saana na mabaharia wengine ni wasumbufu.

Ukitaka kujua wanawake wanatongozwa saana kama upo free na mpenzi wako akupe password ya facebook hapa ndipo utajua mabaharia hawalali...sio waarabu sio wahindi wala waafrika...

Kwa siku anaweza pata meseji 20...minimum.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishanitokeaga hyo Kama ya kwako Sasa wengne hadi kagar tukamnunulia mrembo ila kumbe kuna jamaa kwao anasubiria mke wake tu ila mwisho wa siku gar tukachukua akaenda kwa mumewe aiseee ila wanajua kuigiza Sana

Sasa sijui walivyokuwa wanaongea na nyoka waliahidiana nin aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah....yaan inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah aisee huýo manzi ni hatari hata mimi angefanya makaratee kama hayo ningemkubali ila mwana kwani bi mkubwa wako hajawahi kukuambia kuhusu wanawake wa singida ?
 
Pole sana. Katika maisha yako yote duniani usije ukamuamini na kumpenda mwanamke. Mwanamke anampenda sana mwanaume ambaye hampendi (ukubali au ukatae lakini ukweli ndiyo huo). Mabaharia hufaidi sana mapenzi ya wanawake lakini wewe mwenye mapenzi ya kifilipino utakuja kulia. Kingine kabla haujaoa inabidi uwe na wanawake 5+ hii itakusaidia sana kutokupenda na pia kuchagua wife material ila ukiwa na mwanamke mmoja ndiyo maumivu yake hayo.
Glenohumeral joint,
 
Daah aisee huýo manzi ni hatari hata mimi angefanya makaratee kama hayo ningemkubali ila mwana kwani bi mkubwa wako hajawahi kukuambia kuhusu wanawake wa singida ?
Hz inshu za wanawake wa singida nazijua sema drama za binti zilinipumbaza ...ndugu walinikanya kuhusu nyaturu land ila sikuwasikiliza,niliishia kuwaambia huyu wangu ni mnyaturu wa tofauti,istoshe n msomi so sikutegemea Kama angekuwa mzinzi kiasi hiki....kibaya zaidi anasomea kozi za afya so she knows everything about STDs

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom