Wasukuma hapo mnasemaje?

Wasukuma hapo mnasemaje?

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,352
Reaction score
2,036
WANGAPI WALISHAWAHI KWENDA KUFATA NG'OMBE ZA MAHALI ALIKOOLEWA BINTI.?

Huku usukumani huwa iko hivi, kuna aina mbili za ndoa. Ndoa ya kwanza huwa tunaiita GULEYA au GWITANILWA, yaani kijana wa kiume unaenda kuchumbia kwao na binti ukikubaliwa wanapanga mahari na mahari huwa ni ng’ombe kuanzia 25 na kuendelea na zote zitatolewa siku moja.

Ndoa ya pili tunaiita GUPULA yaani kijana wa kiume anaongea na binti huko mitaani wanakubaliana kisha anamtorosha bila wazazi wake kujua na kesho yake anatumwa mtu kupeleka taarifa kwenye familia ya binti kuwa binti yao yupo kwa fulani. Na hapo ndiyo mawasiliano na mipango ya hizi familia yananza na mahari ya ndoa ya aina hii huwa siyo kubwa sana na hutoka kwa mafungu na wasukuma wengi huwa hawataki kabisa binti yao aolewe kwa aina hii ya ndoa.

Sasa katika aina zote hizi za ndoa familia zikikubalina mahari inapangwa siku ya kwenda kuchukua hizo Ng'ombe. Huwa kuna mchezo huwa unatokea mkishaonyeshwa hizo ng'ombe na mkazihakikisha zinatolewa kwenye zizi na manaanza safari ya kwenda kwenu, mkitoka kidogo tu kwenye eneo la hiyo familia mnawakuta wanawake wengi kama unavyoona hapo kwenye hii clip wanaanza kuwazuia msitike na hizo ng'ombe na mkizembea kweli hazitaenda.

Nakumbuka mwaka 2005 tulienda kuswaga ng'ombe pale kijiji cha utemini wilaya ya kishapu, aisee walitusumbua wanawake wa pale mpaka tukaanza kuwavurisha nguo ndiyo tukapata upenyo wa kutoka tulihangaika sana maana tulikuwa wachache halfu wao wakawa wengi.

Hizo unazoziona hapo ni mahari ya binti mmoja tu, kwenye jamii ya wasukuma wanaofuga ng'ombe nimeambiwa mahali siku hizi ilishafika mpaka ng'ombe 75 kama binti ni mweupe tena mrefu 😄 🤣 😂.

Je wewe umewahi kwenda kuswaga ng'ombe za w'inga ?

Njile Nkuba Sitta 0788 199 994
 
Attachments

  • AQNmwvL0qaxLvNUXXs6pZrgLW6qYFCyp0NwRGePTjiAfrtS2Hip7z0Y2yAmJJFhsdFSmXwsjJ3n1nPQ1UTMlg_2Ab0dtTy...mp4
    13.7 MB

Tuko VIZURI! 🙏💪🏋️
 
Wasukuma wako vizuri Sana kwa Mambo mengi.
 
Faida ya kufanya hivi ni nini?
 
Back
Top Bottom