Wanawake/ wamama nganganien waume zenu weekend

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
WAZO LA LEO

""USIKUBALI KUWA MSUKULE WA KUTUNZA NYUMBA ZENU KILA SIKU""

wamama/madada achen kukaa weekend bananeni na waume zenu wikiendi..mnaitaji kupata raha kama wao..sisemi wanakuwa na wengine la hasha hayo ni matokeo ila wamama wengi wanaaribu ndoa zao wenyewe..wee mumeo kila weekend naenda bagamoyo mara zanzibar kuna nini mi sitakiwi...kuna vitu vingine hata kwenye baibo wansema unaitaji kungangana ili uvipate ...mwambie leo mume wangu tuko pamoja mpka wikiend iishe na kumwpnmyesha umejitayarisha weka vijisent vyako mkifika kunani toa ila kumbuka kuweka nauli zenu za kurduia mfuko wa kushoto hilo litakusaidia sana kuavoid aibu ya mwaka anyway wengine zishazoeleka/

Nini maana yangu wanandoa jitahdini kupendana na kuweka mamisha yenu safii hasa weekend mkiwa mmetuliza akili zenu si lazima muende bagamoyo la hasha mnaweza kwenda hata RUVUMA MPAKA MAPUTO pale bbuguruni la hasha mkikaa masaa mawili mnatuliza kichwa kwa kuhojiana tufanyeje hny wiki ndio inaisha hivyo mwezi ujao tunatakiwa hiki na kile unajua wazazi wetu nao tunaitaji kuwapelekea hiki na kile na mengine mengi ya watoto wenu..inasaidia sana kufanya brain inarelax..mi nikiwa free napenda kwenda slip way namwambia mkewangu miaka hiyo nikiwa alone na penda kukaa haa nikila koni yangu huwa akicheka naweza hata kurudi nyumban at least nimeona futaha yake.....lakini ....

Bado nawalalamikia nyie midume mnayoweka wake zenu km 6 na nyyie ama mmetangulia ama mko nyma yao yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy???????????jamani umetoka nae wa nnini??naziona sehemu nyingi hasa nduguzetu wa kina boyfriend na gfriend loh unakuta mtu anapandisha ngazi za slip na muhindi unajua jamaa kakamata mlupo kumbe mwenye mali yuko anakuja kwa chini ,,,ni kweli wengine walikuwa na tabia za kuchukua vitoweo pale slipway sasa kama ujaweka wazi jamani nina mchumba ama mke nimeoa mkeo atabaki kuwa msukule wa safari zako zote na wewe ukifanyika mganga wa kienyeji....Embu hilo pepo linalokufanya umwogope mkeo/mumeo wasehmu za starehe acha kuanzia leo ukiweza mshike kabisa mbona mlikuwa mkishikana kanisan jamani..anyway nisifike mbali\

ACTIONS BETTER THAN WORDS
 
apo chacha !!! cha kuniweka msukule yahusu?
asante sana kwa ANGALIZO ...ntabanana nae

nina semina bgmy twnd,naenda ara twend naenda wap sjui wakat wa wknd pamoja...i
asante kwa kuumbua wenzako
 
apo chacha !!! cha kuniweka msukule yahusu?
asante sana kwa ANGALIZO ...ntabanana nae

nina semina bgmy twnd,naenda ara twend naenda wap sjui wakat wa wknd pamoja...i
asante kwa kuumbua wenzako

Familia itastawi vipi kwa kung'ang'aniana na kukaba hadi penalti?

Kila mtu atimize obligations za ndoa au love affair. Kama ni wako ni wako tu hata usipomng'ang'ania. Kama si wako, si wako tu hata uking'ang'ania na kukaba hadi penalti.

Play your part.
 
""USIKUBALI KUWA MSUKULE WA KUTUNZA NYUMBA ZENU KILA SIKU""

hapo cjakupata....nani atunze nyumba? na mtoko sio lazima iwe weekend, kutoka ni cku yoyote kama nafac/muda upo, sasa kwasababu yeye kasema ana kanyagio bar kupata moja bac niandamane nae japo nina shughuli chungu nzima ndani?
 
ndoa ni makubaliano,maelewano,uaminifu,kuvumiliana,kuchukuliana na mengine mengi kama hayo so swala la kubanana inategemea na majukumu yanayowakabili otherwise ni angalizo zuri sana ambalo kwa kiasi kikubwa linasaidia kudumisha upendo katika mahusiano
 
mtoko sio lazima weekend....

Na kweli maana sisi wabongo tumeishazoea mtoko hadi weekend kwa kuwa tunapenda tule raha hadi saa kumi na moja alfajiri hapo ndio unaona weekend imeenda vizuri, ukimwambia mtu unatoka out jumanne au jumatatu watakushangaa na kukutolea macho
 
Wapendwa weeknd inategema wewe yako ni lini si weekend jumapili ama jumamosi yangu mie jumatano na jumamosi..lengo ni kuwakumbusha wamama tusiachane tuwe pamoja na si weekend tu kila sehemu inayoitajika,polen kwa waliokwazika

MAISHA MEMA YA NDOA
 
Hii ki ukweli itafanya kazi sana, kama mke atatumia ujuzi kubanana na mumewe, bt force ikichukua nafasi.............Kazi itakuwwepo.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom