Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,549
Reaction score
28,496
Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!

Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!

-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa

Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!

-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie

Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
 
Tulia na mke wako mkuu. Hivyo vitu anavyotaka mchepuko ukimpa mkeo nusu yake tu wala hutafikiria kuhangaika. Michepuko tupaipenda tu kwa sababu ya mbususu ila gharama zake ni kubwa. Kutelekeza familia, nuksi, kuchezea hela, magonjwa etc
 
Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!

Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!

-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa

Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!

-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie

Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Achana na mapenzi yatakupotezea muda, maisha si mapenzi tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kinu na mpini ni asili,pesa ni man made!kwanini kuidhalilisha asili na man made!!?

Asili Kwa asili hupeana bila masharti na vina noga!kwanini man made kuhusisha!!?
Ndugu yangu wee! Ukishakuwa mwanamke deka.uingizwe ukuni,umwagiwe utomvu ukasafishie kipapa na sabuni ya nani?

Haya sawa,tufanye sihitaji penzi Wala hiyo pesa yako.mtatomber kuku safari hii🤒
 
Siyo wewe tu,ni wanaume wote... maana wanaitafuta kwa shida.Anayetoa ni asili yake tu ya utoaji na utu ndani yake.( Hivi ndugai kazikwa nazo eti?)

Mtusamehe wakuu
Ni sahihi. Japo mi sio bahili pia, nisichopenda ni ile hali ya mtu kunifanya kama chumo, ila ukitulia tu aaah mbona sana sana ,maana mwenyewe napenda kutumia hela zangu so ukiwa karibu na uwaridi, lazima utanukia tu.

Ila yale masuala ya "baby hiki, baby sina kile, baby lunch, baby nini..." aaah hapo utanichosha mapemaa sana. Maana kama mtu mzima najua mu woman needs stuffs, lakin usinifanye sasa lpaka mikiwa sina nianze kupata mawazo. Maana kitu kingine sipendi ni kujieleza eleza kwq mwanamke kuwa sina pesa, sitaki kabisaaa hii.
 
❤️Huu ndiyo uanaume sasa,afu mwanamke ukishamcare hata Mara moja anajua tayari huyu mtu ana utu hata kama huna
 
Back
Top Bottom