Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

We Da Pretty. Umechanganya mada. Kusoma wanawake someni saana ila kumbukeni tabia zenu mnapokuwa vyuoni zinawakatisha tamaa wanaume kuwaoa.Deep down angetaka awe ndani ya ndoa. angalia kwenye maombi. Wanaotaka kuolewa au waume waje mbele. Madhabahu hazitoshaji. Wanapoombewa wakianza kutoa shuhuda unakuta kapita kwa waganga kibao. Mwaume anatafuta mke mwema. Eti mwanamme mzigo!!!.

Vyuoni wanaume hawafanyi yanayofanywa na wanawake?

Khs suala la kuombewa kwenye maombi (hata mimi nilitoka mbele sana tu) suala sio kua wanaume wa kutangaza nia hawapo ila wengi hulia apate mume SAHIHI kwake kama mimi nilivyoomba nipate huyu wangu.
Na ndio maana wanaume wengi kutwa kuja kulaumu humu kuhusu wake zenu kwa sababu mlioa ili mradi tu. (Samahani, hii ni kwa wenye imani kiroho tu)
 
Najua mnafarijiana na vi thread kama hivi! Poleni na maumivu ya kukimbia umande! na mapenzi ya utotoni yaliyokatisha ndoto za elimu!

Asante mkuu tumeshapoa....lakini si kila asiyesoma mapenzi ya utotoni ndo yamesababisha.....zipo sababu nyingine nyingi ambazo hata wewe unazijua unless uniambie we sio mtanzania

huyo hapo juu ni M-Escrow bana hajui shida za bongo za kukosa mshiko wa kusomesha.
 
1.UMASKINI
2.UPUMBAVU
3.USHAMBA(ULIMBUKENI)
4.LAANA
Kuna tofauti yakuhudhuria vyumba vya shule na kupata elimu..Isaya 4:1 na isaya 5:20-22
 
Kuna dada anafanya PhD ya gender...anaangalia composition ya board rooms Kenya na ana question kwa nini wanawake wako under represented.

Yeye mwenyewe ameshakuwa director wa mashirika mengi tu Kenya...

Sasa akati ana present anasema alialika dinner waume za hao wamama ambao wako kwenye boards na kufanya nao focus group discussions...

Nikamuuliza hao wamama wameolewa? akasema majority wameolewa...

Nikaweka question mark maana kuna researcher ni wazuri kwenye ku cook data
Nikamwambio kwa Tz wengi walio make it to the top either hawana waume au wameshindwa ku maintain ndoa zao...kulikuwa na kaka wa Kiganda akasema ni same with Uganda...
Akasema that is a case for TZ and Uganda...in Kenya if you can't keep a family no one can trust you with higher positions...mmmmnnnhhhh bado nina mashaka...maana nilivyokuwa namuangalia usoni ni kama alikuwa anadanganya...

Nikamuuliza mbona hii iko hata Malawi...mfano bibi Banda alishidwa sababu wapinzani wali quote vitabu vya kiislamu na Kikiristu kuwa mwanamke hawezi kuwa kiongozi...mwanaume n kichwa cha familia

Akanijibu Bible imesema mwanamke awe submissive kwa mumewe si kwa kila mwanaume...hapo nikampa salute...akasema ukifika ndani u CEO unauacha mlangoni...lakini kina Juma na John wa ofisini si wanaume zako...unatembeza kibezi kama kawa...

Ila hata Tz naamini kuna wanaume wanataka kuwaona wake zao wana make it to the top...including my loving husband...ila si wengi...mfano mleta mada...

Nilitaka kupita kimya kimya kutkoana na thread yenyewe ilivyokaa imekaa kimajungu japo kuna ukweli, ila koment yako imenifanya nichangie kidogo.

Hilo unalolisema nado ambalo hata Bible imesema na wala haijaandikwa mwanamke akandamizwe asiwe katika position za juu kumbuka Ester alikuwa mke wa mfalme lakini aliwakomboa watu wake, naomba hiyo sheria ya Kenya ije hata huku labda hawa wanawake wetu wataelewa nini maana ya kusoma kutofautisha na ndoa.

Nanukuu maneno yako "mwanamke atakuwa chini ya mume wake si kwa wanaume wote" Vivyo hivyo tunaposema mwanume ni kichwa cha familia maana yake familia yake si zote au si kwa wanawake wote hilo hawa wa kwetu hawajalitambua sasa wanachanganya umeneja wao kazini mpaka nyumbani ndo inakuwa shida kisa tu ana mshahara wa kuweza kununua gari na kujenga nyumba anaona tayari hata kwenye familia anaweza kuwa kichwa.

Ingekuwa hivyo hata wanume ambao wangetakiwa vichwa vya nyumba ni wale wenye uwezo wa kununua magari na kujenga majumba wengine wote ni mikia kitu ambacho si kweli, kuwa na uwezo kiuchumi ni tofauti kabisa na kuhandle family, ndo maana hapa Tanzania mwanamke ambaye hajaolewa na anamtoto ila anajiweza kiuchumi anajiona ana mafanikio kuliko yule aliye ndani ya ndoa sijui kama wataelewa. Asante
 
Kwa asili mwanaume anatabia ambazo mwanamke anaziitaji.Na vilevile mwanamke anatabia za asili ambazo mwanaume anaziitaji.

TABIA HIZI ZA ASILI zinakufa kwa wanawake wengi wasomi.Ndio maana kuoleka ni shida.!Kuolewa ni hitaji la asili la kila mwanamke.Sema ukikosa kulewa tunatafuta sababu za kujifariji huku mioyoni upweeke ndio mwake.
 
Most of them wanajitakia.
Ww mtu unazaa na hajakuoa unategemea nn
 
tatizo wanataka kuwatawala wanaume,sasa wanaume wengi hawapendi kutawaliwa na wake zao
Ndo maanaish wa siku wanaue wanaachakwenye mataa
 
Dah mie ninaye lkn mbsh na hapo cjamuoa je nkimuoa c itakuwa balaa yan anakiburi huyo na anazd age sasa
 
Kuna dada anafanya PhD ya gender...anaangalia composition ya board rooms Kenya na ana question kwa nini wanawake wako under represented.

Yeye mwenyewe ameshakuwa director wa mashirika mengi tu Kenya...

Sasa akati ana present anasema alialika dinner waume za hao wamama ambao wako kwenye boards na kufanya nao focus group discussions...

Nikamuuliza hao wamama wameolewa? akasema majority wameolewa...

Nikaweka question mark maana kuna researcher ni wazuri kwenye ku cook data
Nikamwambio kwa Tz wengi walio make it to the top either hawana waume au wameshindwa ku maintain ndoa zao...kulikuwa na kaka wa Kiganda akasema ni same with Uganda...
Akasema that is a case for TZ and Uganda...in Kenya if you can't keep a family no one can trust you with higher positions...mmmmnnnhhhh bado nina mashaka...maana nilivyokuwa namuangalia usoni ni kama alikuwa anadanganya...

Nikamuuliza mbona hii iko hata Malawi...mfano bibi Banda alishidwa sababu wapinzani wali quote vitabu vya kiislamu na Kikiristu kuwa mwanamke hawezi kuwa kiongozi...mwanaume n kichwa cha familia

Akanijibu Bible imesema mwanamke awe submissive kwa mumewe si kwa kila mwanaume...hapo nikampa salute...akasema ukifika ndani u CEO unauacha mlangoni...lakini kina Juma na John wa ofisini si wanaume zako...unatembeza kibezi kama kawa...

Ila hata Tz naamini kuna wanaume wanataka kuwaona wake zao wana make it to the top...including my loving husband...ila si wengi...mfano mleta mada...

Nimejifunza kitu kikubwa sana kutokana na hii comment yako. Maneno haya huwa nayasikia mara nyingi ila leo sijui kwa nini yamenigusa kwa namna ya pekee
 
TABIA HIZI ZA ASILI zinakufa kwa wanawake wengi wasomi.Ndio maana kuoleka ni shida.!
Huu ni uongo. Na hii inawaharibu sana wanaume na kujenga mtazamo hasi kwa wanawake wasomi.
Kwenye ndoa mke ni mke na mume ni mume.
Dharau, kiburi, ujeuri, ubishi na mengine ni tabia ya asili ya mtu, haifundishwi darasani
Ila as alivyosema mchangia mmoja,
mwanamke atakua chini ya MUME wake sio wanaume wote, na MUME ni kichwa cha mkewe sio wanaume wote.

Nashangaaga makazini huku bosi wa kike akiwa na msimamo mkali watu wanajiuliza anaishije na mumewe.
HAVIHUSIANI
 
inategemea ana misimamo gani?
 
Halafu zigo lenyewe sasa....lisipokunukia litakuvujia!

Wamezidi kuwa mizigo kulalamika wewe hafu hawajiamini kisa mke kamzidi kipato au ameenda shule sasa wanajidharau uanaume mzigo ni shiiiider
 
  • Thanks
Reactions: kui
Dah mie ninaye lkn mbsh na hapo cjamuoa je nkimuoa c itakuwa balaa yan anakiburi huyo na anazd age sasa

Atakuwa wa Kaskazin uyooo...
OK, ni wajibu wetu kuishi nao kwa akili na sio kutunishiana misuli
 
Back
Top Bottom