Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

Kwa asilimia flan n kweli wanawake walosoma vburi kimtindo.....ila na elimu yangu kwenda kuoa manzi hajasoma ngumu asee, nahis kama tutakuwa na interest tofauti, matarajio ya kimaisha tofauti, uwezo wa kufikili pia....aaah wapi sioi mbulula asee, usijeshangaa mitoto yake yote vlaza kumbe wamerithi kwa mama mbulula ulooa
 
Asante mkuu tumeshapoa....lakini si kila asiyesoma mapenzi ya utotoni ndo yamesababisha.....zipo sababu nyingine nyingi ambazo hata wewe unazijua unless uniambie we sio mtanzania

Kibajaji imebidi ajieleze ukweli juzi bungeni kwamba hakuweza kusoma baba yake alifariki akiwa mdogo. Na mimi sasa akiropoka nitakuwa namsamehe maana wengi hatujui makuzi aliyopitia mpaka kufikia kuwa mbunge.
 
Hahahaa mtusamehege jamani wakati mwingine si makosa yetu.
 
"Mwanangu soma ili mwanamme asikusumbue" hii kauli kutoka kwa wazaz nayo ni chanzo kikubwa.

Hata mzazi wangu aliniambia hivo mwanangu soma kwa bidii ujitegemee wanaume ni viumbe mizigo wasije kukunyanyasa bure
 
Hata mzazi wangu aliniambia hivo mwanangu soma kwa bidii ujitegemee wanaume ni viumbe mizigo wasije kukunyanyasa bure

Angela Markel kabla ya kwenda ofisini ni lazima amuandalie mume wake breakfast yeye mwenyewe, jukumu hili haliachi kwa wapishi wa ikulu kamwe.

Think loud.
 
Wanafikiria mbali sana hawa."Nimesoma,Nina kazi nzuri,Nataka mume Handsome na Mwenye pesa,hata nikiwa naye,marafiki zangu watani ni admire kwelikweli(Allinacha Style)".Matokeo anasubiri mpaka basi.. Kama ni Mwalimu utamsikia akisema."Kuolewa na Mwalimu mwenzio uhamisho wenu utakuwa ni wa Kijiji hadi Kijiji noma tu".Siku zinaenda hazigandi.Akijapata mpenzi anadhani amepata kumbe Anapatikana.Unataka nikupe mfano wa Dr mwenye Phd Aliye na Kazi nzuri,Magari na Nyumba alikoswa mume zaidi ya miaka kumi hata kuambiwa tu "Loving u" ilikuwa kazi.Alipochoka,Alimtafuta kijana aliyemaliza FVI akamweka ndani akamjengea kwao nyumba nzuri akafunguliwa miradi mingi ya kusimamia.Sasa hivi anae watoto Watatu.Masharti asifanye kazi ya kumchosha nje na akasahau wajibu uliomweka hapo.Hilo ndo Penzi la Wasomi.Nawashauri Mkipenda nanyi Mpendeke kwani huijui kesho yako dada zangu.
 
Angela Markel kabla ya kwenda ofisini ni lazima amuandalie mume wake breakfast yeye mwenyewe, jukumu hili haliachi kwa wapishi wa ikulu kamwe.

Think loud.

Kuandaa chai ni manynyaso? Mbona mnaexaggerate sana mambo ninyi watu?
 
Angela Markel kabla ya kwenda ofisini ni lazima amuandalie mume wake breakfast yeye mwenyewe, jukumu hili haliachi kwa wapishi wa ikulu kamwe.

Think loud.

Hivo kuaandaa chai ni normal activities kwa mwanamke Ku take care ila inapokuja kwenye maswala mengine wanaume ni waonevu hasa wakimpata mwanamke mnyonge asiyejiweza anayemtegemea ila kama najiweza mtu aninyanyasi kizembe eti kwakua ni mwanaume.
 
Kuandaa chai ni manynyaso? Mbona mnaexaggerate sana mambo ninyi watu?

Angela Makel ndio mwananamke mwenye majukumu mazito kuliko mwanamke yeyote duniani na anaongoza Taifa linaloongoza kiuchumi Ulaya lakini anayajuwa majukumu yake kama mke, sasa kuna dada zetu wa kibongo asipate kasemina cha wiki mbili basi house girl ndio anamuhudumia mume, thats why Wanaume uhamuwa kuwapromote mahouse girl kwa kazi nzuri.
 
Nimekuuliza swali...kuandaa chai na kumhudumia mume ndo manyanyaso???
 
Hivi kwanini mada za aina hii zina changiwa sana ??
 
Swali lako halina mantiki maelezo yangu yanajitosheleza yenyewe.

Uliyemkoti mara ya kwanza kabisa ameongea habari ya manyanyaso we ukaja na hadithi za kuandaa chai.....nadhani ni wewe maelezo yako ndo hayana mantic. Pengine uko sahihi ila maelezo yako yalikuwa hayahusu hapa
 
"Mwanangu soma ili mwanamme asikusumbue" hii kauli kutoka kwa wazaz nayo ni chanzo kikubwa.

Mm hadi Leo mama angu ananambia soma na jijienge kiuchumi ili usije sumbuliwa na wanaume ila sina hakika km no chanzo
 
Hivi hizi thread lengo lake nini?wanawake wasisome,hlf hao wanawake unaowazungumzia ni wapi mbona mimi naona wanawake wengi wanaofanya kazi wana ndoa zao,vilevile naona wadada wengi wamezalishwa tu nyumbani sababu ya kushindwa kuendelea na shule kwa mantiki hiyo wasiosoma pia wamezalishwa sana tu,cha ajabu sasa familia nyingi naona wameoana wasomi kwa wasomi sasa mimi huwa najiuliza mnazungumzia wanawake wa nchi gani?au jf ni jukwaa la maigizo na porojo.

Hahaha asante kwangu umemaliza kila kitu
 
Mm hadi Leo mama angu ananambia soma na jijienge kiuchumi ili usije sumbuliwa na wanaume ila sina hakika km no chanzo

Mama zenu ndio wa kwanza kuwaharibu bila nyinyi kujijuwa, ni kwa nini mama mwenye akili asikwambie soma kwa bidii baadae ukiwa ndani ya ndoa hata mume akiyumba kiuchumi mwanamke utakuwa na kipato cha kuendesha Familia? Why?
 
Back
Top Bottom