Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,154
wanajikuta wanangukia kwa wanaume wenye wake na watoto siku nyingi, mwisho wa siku hakuna kuolewa tena kwani aliyekuwa nae tayari ana familia.
Kumdate mwanaume aliyeoa sio suala la kujikuta. Ni maamuzi. Labda awe amedanganywa.
Na msijidanganye kuwa wanaume waliooa ndio wana uwezo wa kuwatimizia mahitaji yao mabinti. Wangapi wameoa, maisha yanawapiga na bado wana vimada ambao wakati mwingine ndio wanaowapiga tafu.
Msituchukulie kama sisi ni wawindaji, hata nyinyi mnawinda.