Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,154
Natumaini haupo kundi hilo la wasomi wala kundi la wajuaji wa mambo.Wana tabia ya kujidai wajuaji wa mambo mwanaume gan.atakubali kukaliwa juu na mwanamke
Mungu azidi kubariki ndoa yako.
Natumaini haupo kundi hilo la wasomi wala kundi la wajuaji wa mambo.Wana tabia ya kujidai wajuaji wa mambo mwanaume gan.atakubali kukaliwa juu na mwanamke
Ahhhhh nan kasema
Kipi kinafanya wao wasiwe na gari hadi watafute wenye nayo?
lazima wachague maana wanajua mbivu na mbichi... sio rahis kudanganywa
sr bachelor hebu ukuje uprove hapa
ndio tuwaulize maana wapo hapa
Kuchagua kwingi nako huchelewi kuokota garasa.
hahhha shit happens, hiyo itakua ilipangwa tu.. ila kuchagua muhimu asee
Niitie niwaulize.
Ila kweli... kuna wanandoa wengine hadi wanakatisha tamaa walio nje.
As if hawakuchaguana!!!!
wewe sio mmoja wapo?
hii mada ni ule muendelezo wa mada za kufanya wanawake wajione dhaifu milele, hivi kisa cha kung'ang'ania ndoa mfu kisa tu uitwe mke wafulani inahusu!? jamani wanaong'ang'ania ndoa ni wale wanaotafuta financial security tu lakini msomi aiiii wewe anajitambua bwana hawezi kusubiri kifo cha kihoro wakati alternative ipo. nna ushahidi wa wadada tele wanaovumilia ndoa zao eti tu status wakati zimeshakufa kittambo. mie mwenyewe nnayo ila nahisi mwakani nakua single maza by choice baada ya kufulfil mambo flan,,,
naunga mkono huu utafiti.
Kung'ang'ania kuna sababu tofauti. Kuna mfanyakazi mwenzangu kila asubuhi machozi ofisini. Anashindwa kutoka kisa familia yake ni viongozi kanisani. Baba Mchungaji, mama mlezi wa nini sijui.
Kaolewa na 22yrs ana 10 yrs kwenye ndoa.
Umezalisha wasomi wangapi kaka?