suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Matola nimependa hiyoMama zenu ndio wa kwanza kuwaharibu bila nyinyi kujijuwa, ni kwa nini mama mwenye akili asikwambie soma kwa bidii baadae ukiwa ndani ya ndoa hata mume akiyumba kiuchumi mwanamke utakuwa na kipato cha kuendesha Familia? Why?
Last edited by a moderator: