Mtu_Mzima
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 1,174
- 1,150
Muulize mtu yeyote mwanaume aliyepita chuo na kuona tabia za wadada vyuoni. Kwanza wanawadharau wanafunzi wenzao labda uwe kipanga, kidoogo utawaona vinginevyo wanawatafuta malecturer au wenye pesa. Akimaliza eti ndo akutafute kana kama hukuona yaliyotokea. Tabia za 70% ya wadada wanavyuo zinatisha. Ukiwa mzazi wa mtoto wa kiume unajiuliza wanangu ataoa nini wakati wachumba wenyewe wanatutaka sisi baba zao?
Ukiwa na pesa au nafasi nzuri una kazi kubwa ya kuwakwepa hawa wasichana wa vyuo. Very shameless !!!
Ukiwa na pesa au nafasi nzuri una kazi kubwa ya kuwakwepa hawa wasichana wa vyuo. Very shameless !!!