Naona umeanza kuingia line au vipi?,basi kuanzia sasa ni MDOGO MDOGO,.,.,.,.,,..,,,.Heheheheheeh...
Hawana stress but namna nzuru jiangalie siku ukilala na mwanaume baada ya hapo how do you feel?Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.
Wanawake walioolewa wanajiamini sana ukilinganisha na wasioolewa. Nadhani wengi mtapingana na hili ila hapa siongelei kujichetua, bali naongelea ile confidence inayotokea ndani.
Ukiwakuta mahala wanakuwa very free, hawaogopi kufanya vitu. Hata wakiongea na mtu au kujielezea hawana kupepesa macho wala kutazama chini kwa uoga au aibu. Wako huru kuliko.
Ukienda harusini au kwenye sherehe yoyote angalia wadada/wamama walioolewa. Wanacheza kwa uhuru, wakiitwa mbele ya kadamnasi kujieleza wako vizuri na hufanya hivyo kiufasaha. Wasioolewa mara nyingi huwa wakijishtukia sana, sijui kwanini.
Maswali ninayojiuliza ni:
1. Wanakuwa huru kwakuwa wameolewa hivyo wanaamini wamepanda thamani kwenye jamii na wako kundi lenye "heshima"?
2. Wanakuwa huru kwakuwa hawana cha kuonea aibu tena kutokana na kuweza kuishi pika pakua na mwanaume na kushare kila kitu au kuoneshana kila kitu?
Nawasilisha.
Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.

Ulikuwa hujui?
ndoa kwa mwanamke ni sawa na ajira kwa mwanaume
inampa mtu heshima na status.......
ndo maana wanawake wasiowapenda waume zao huwa hawataki talaka
hata kama wanalala vyumba tofauti
mradi aendelee na 'status' tu
Sahihi kabisaUlikuwa hujui?
ndoa kwa mwanamke ni sawa na ajira kwa mwanaume
inampa mtu heshima na status.......
ndo maana wanawake wasiowapenda waume zao huwa hawataki talaka
hata kama wanalala vyumba tofauti
mradi aendelee na 'status' tu
Ndo maana wengi tu wapo kwenye ndoa pasi na furaha. Penzi lilishachuja zamani. Matokeo yake wanatoka nje ya ndoa.
Wana kazi kweli!
Umeona kuna mtu kaandika englishi?DISCLAIMER... This is NOT a proven THEORY! But rather proven personal observation. So take this as you will... With a grain of salt and a shot of tequila/kiroba.
Confidence is something that's learnt. It's a skill from my perspective. But in due time most people come to master that skill. Confidence and arrogance or bravado are 2 complete different things.
Dating and marriage is a game. We have spectators and participants. Ukiwa single unachabo tu madem au mameni you are a spectator, if your currently in the game, dating or marriage you are a player (not in that sense!) sasa basi, as any sport/game one has to acquire enough confidence to intimidate their opponent.
To most women, being married is the ultimate I MADE IT sign to fellow women and men. Mind you i said... MOST! So don't come with pitch forks at me because i didn't say all women. Sasa basi, mwanamke pale anapo belong to someone else, pale ambapo she's mrs. so and so, psychologically she has WON the game. Now the aftermath of the marriage, whether it survives or not that's an entire different topic all together. In that realm of i made it, finally i can be who i want. Women become more free. It's funny because it's the opposite of what men do once their married. For us men, you watch what you say alot. Your confident but not confident enough to strike up a conversation with a random woman without feeling some type of way or being scared that someone might see you.
Wanawake, tena wakiTanzania na mila zetu, they are brought up to always act in their best behavior around men. You always here things like..."we endelea na kuruka ruka, hautaolewa" or "acha kuongea sana bwana, wanaume wataogopa kukuongelesha" so that forces most women to remain docile, silent, not express most of their views or act the way they want to. For the fear that men might be turned off by that. Ila baada ya ndoa, what's there to be scared for anymore! I've got the man, now i can be me.
So like i said this isn't a proven scientific fact where studies where done. NO! This is my own research as i have met many married women and single, i have asked a few and this is what i concluded it to be. It's a psychological switch that turns on once most women are married. They've finally won the prize in the game. So they are not like the other spectators(the single ladies) who have to watch what they say, act in a certain way because they have YET to win the prize.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wwManeno kama Hayo Ayatamke Jambazi Aliekushikia SMG... utaomba Yesu Atende muujiza..
Nimewaza tu nje ya mada