Queen V,
Hii observation yako ni nzuri na ni kweli.
Kumbuka Mungu alivyo muumba Adamu na Hawa aliwaweka pamoja!Ingawa alikuwa na uwezo wa kuwaweka mbali mbali, kuwaweka pamoja ni ishara kwamba maisha yetu wanadamu yanakamilika kwa sbb ya muungano wa mtu mke na mtu mume!
Kwa asili kuna vitu mwanamke anavyo, na vinahitajika kwa mwanaume, na kwa asili kuna vitu ambavyo sisi wanaume tunavyo na vinahitajika kwa mwanamke.Mwanamke akiwa na mtu wa kusikiliza na kujali hisia zake, lazima ajiamin na kinyume chake ni kukosa wa kujiamini.