Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

Ngoja nifikishe hiyo 40 yako ndipo nikakapoweza kukubaliana na kukataliana na wewe kwa kutumia experience yangu mwenyewe. Maana nimepitia 20s na sasa hivi niko kwenye 30s na kwa mengi kama si yote nakubaliana na mchungaji Kaizer kwa muda huu.

hahahaa Kaunga si unajua tena EMT anajaribu kuweka mawazo tofauti. Nashukuru kwamba walau kwa hili tunakubaliana.....lol
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nifikishe hiyo 40 yako ndipo nikakapoweza kukubaliana na kukataliana na wewe kwa kutumia experience yangu mwenyewe. Maana nimepitia 20s na sasa hivi niko kwenye 30s na kwa mengi kama si yote nakubaliana na mchungaji Kaizer kwa muda huu.

Ila ukifika 40 uwe tayari na hivi kwa mujibu wa Sangarara

1. Kuwa ndani ya ndoa.
2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe.
3. Kuwa na watoto (wawili+)
4. Kama ni muajiriwa kuwa kwenye supervisory au senior position.
5. Maliza michakato ya msingi ya formal education unless uwe academician, Degree, MBA, Professional certification,
6. Kama umejiari, kuwa na profit making, professionally managed business.
7. kuweza kucontroll unywaji wa pombe.
8. kuwa na kitambi decent.

Nafikiria hivi kuwa vitu vya msingi sana, kupata ushauri ama angalizo za ziada itapendeza zaidi,
 
Hahahaha anakuja na wapambe 4 yeye wa 5 wapambe wanakunywa Heineken, whiendok, Savana, Mtakatifu Anna mara dear tunataka kiti moto kilo 5 na kuku wawili bila kusahau chipsi kavu sahani 5.

Hahahahahahaha..... Fidel80 nmecheka sana lol chipsy kavu sahani 5????? Hahahaha....



Kaizer najiuliza huu uzi umenipitaje sipati majawabu lol
 
Last edited by a moderator:
wala haujakuwa kilaza bado
ni hivi wewe unatusemea kuwa how we feel kwenye umri huo lakini unasema kinadharia
sasa mimi najua kivitendo how we feel kwenye umri tofauti tofauti
ni umri gani mwanamke anakuwa na joto sana na ni umri gani mwanamke anakuwa tu kawaida hasa hii ni kutokana pilika pilika za kujijenga kimaisha na pia ni umri gani mwanamke anatamani kila mara atoke hata nje ya ndoa.



come again (sijui nimekuwa kilaza?)
 
Hivi kitimoto si anajulikana kama mdudu bila zile famous 3 parts eeh?

Hahahahahaa.

Like when a bird is not a bird but a messenger, bringing in its wake news of the day?
 
Back
Top Bottom