Vitu vya lazima kuwa umevitimiza at age 40

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
1. Kuwa ndani ya ndoa.
2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe.
3. Kuwa na watoto (wawili+)
4. Kama ni muajiriwa kuwa kwenye supervisory au senior position.
5. Maliza michakato ya msingi ya formal education unless uwe academician, Degree, MBA, Professional certification,
6. Kama umejiari, kuwa na profit making, professionally managed business.
7. kuweza kucontroll unywaji wa pombe.
8. kuwa na kitambi decent.

Nafikiria hivi kuwa vitu vya msingi sana, kupata ushauri ama angalizo za ziada itapendeza zaidi,
 
Namba 6 hainihusu
 
Well, naweza kukubaliana nawe kwa baadhi ya vipengele lakini kwa hii namba 2 naomba ufafanuzi, kwa nini unafikiri at the age of 40 mtu anatakiwa kuwa amejenga na anakaa kwenye nyumba yake mwenyewe?
 
Hahahaaaaaaaaaaaa! THE TIME LINE TO WOMEN IS SO UNFAIR!!!!!!!!!!! AT 28 INABIDI HAYA YAFUATAYO UWE UMETIMIZA ILI UGONGE 30's KWA RAHA ZAKO!

1. Uwe ushaolewa! Atmost below 26 na Mume anaeeleweka! (I aint vexing abt anybody!)

2.Uwe ushazaa watoto 1 au 2 ili mwili urudi fresh.

3. Uwe ushajiendeleza kielemu hapo kuunganisha Bachelor, CPA na Masters inahusu sanaaa!

4. Uwe ushapata kazi na unakipato sio kumtegemea mwenzio.

Hapo kibongo bongo tunasema una nyota kali sanaaa, wadhungu wanase You are realy blassed and God has given you all! ( For the time being!!!!!!!!)
 
well said Lara 1, tena hapo unaenjoy life ile mbayaa!!!!
 
Mie naikaribia bt kuna vitu vinanitatiza sana bt kiukweli inatakiwa iwe hivyo
 
kitambi ni ugonjwa na janga la janga la taifa,kwanza kinapunguza sexual performance kwa asilimia kubwa sanamfano kinasababisha pre-mature ejaculation,suala la kitambi sijaliafiki
 
Well, naweza kukubaliana nawe kwa baadhi ya vipengele lakini kwa hii namba 2 naomba ufafanuzi, kwa nini unafikiri at the age of 40 mtu anatakiwa kuwa amejenga na anakaa kwenye nyumba yake mwenyewe?

Ndugu, kwa umri huo kuendelea kupanga ni kuleta usumbufu kwa watoto, imagine mwenye nyumba anaamua kusitisha mkataba kwa sababu zozote zile out of your plans. unaanza kumbembeleza au? yaani watoto wakuone we mny'onge?
 
kitambi ni ugonjwa na janga la janga la taifa,kwanza kinapunguza sexual performance kwa asilimia kubwa sanamfano kinasababisha pre-mature ejaculation,suala la kitambi sijaliafiki

Ndo maana nimesema kitambi decent, watu wengi sana wanavitambi decent, tosha kabisa kwa mama kukuna kuna, sizungumzii matumbo makuuuubwa.
 
Hahahaaaaaaaaaaaa! THE TIME LINE TO WOMEN IS SO UNFAIR!!!!!!!!!!! AT 28 INABIDI HAYA YAFUATAYO UWE UMETIMIZA ILI UGONGE 30's KWA RAHA ZAKO!

1. Uwe ushaolewa! Atmost below 26 na Mume anaeeleweka! (I aint vexing abt anybody!)

2.Uwe ushazaa watoto 1 au 2 ili mwili urudi fresh.

3. Uwe ushajiendeleza kielemu hapo kuunganisha Bachelor, CPA na Masters inahusu sanaaa!

4. Uwe ushapata kazi na unakipato sio kumtegemea mwenzio.

Hapo kibongo bongo tunasema una nyota kali sanaaa, wadhungu wanase You are realy blassed and God has given you all! ( For the time being!!!!!!!!)

Lara 1, kuweka deadline ya MBA na CPA at age 28 is too aggressive, jaribu kuwa moderate kidogo, wewe unawafahamu wadada wangapi kutoka kwenye familia za kibongo out of 10 at that age with all that
 
Back
Top Bottom