God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
mi tuu napendaga shape zao kubwa unakuta mdada mnene yani kalivuta hadi bac ukiangalia huko nyuma ndo kabisa unakuna moyo wangu mkubwa. najua iko siku tu
Aisee....ngoja tukamatane bana kwan nn?
Cc Preta
Older the berry, sweeter the juice, huh?. Sasa basi, kama wewe ni mwanamama na hujafika 30, usiongee na mimi kuanzia sasa. Subiri kwanza ukue.
Mweeeeh paulo!! We mwenyewe hujakua alafu unataka waliokua!! Utabemendwa shaurilo.
Hahaha. Acha hizi bana. Ona sasa ushaniharibia.
Mie sikuharibii mdogo wangu nakuokoa ujue!! Subiri kwanza ukue kue, sawa mtoto mzuri!!?
Haya bana. Umeshaniharibia.Ngoja nimcheki Invizibo nibadilishe Id.
Mimi Mwenyewe Huwa Nawapenda Sana Ile Mmekubaliana Mkutane Sehem Anavulia Kyupi Nyumbani Kwao, Sio Hawa Dogodogo Anakuja Amevaa Vyup Viwili, Tait, Mbili Suluali Kakaza Na Mkanda, Kaazima Na Katoto Ka Jirani Ndio Anakuja Et Unasemaje?
Loooh afadhali leo umetutia moyo wa 30s. Subiri siku waamke vibaya mapovu yanavyowatoka sasa
Loooh afadhali leo umetutia moyo wa 30s. Subiri siku waamke vibaya mapovu yanavyowatoka sasa
Eeeh yani wakivurugwa tu wanatumalizia sisi hasira zao hehheehWakimaliza wanaingia kwa single moms basi balaa tupu.
Eeeh yani wakivurugwa tu wanatumalizia sisi hasira zao hehheeh
Tooooba!!
Hahahhahaa unless you are also 30+.....