Wanawake walioko kwenye 30s

Mmh! nasikia kichefuchefu sijui nina mimba?
 
niharibu nini wakati ndio ukweli ulivyo! zamani wakati wa balehe nilikuwa sipati demu, ila umri huu, wale mademu wa umri wangu waliokuwa wananikatalia ukimtongoza kidogo tu amekubali... huna haja ya kumwambia nakupenda coz anakuwa ameshakuelewa!

Khaa na wewe unataka kuharibu sasa...

zaidi ni waelewa sana katika mapenzi kiasi ukimtongoza leo kesho unaenda kula mzigo. ni swala la maelewano tu.
 
niharibu nini wakati ndio ukweli ulivyo! zamani wakati wa balehe nilikuwa sipati demu, ila umri huu, wale mademu wa umri wangu waliokuwa wananikatalia ukimtongoza kidogo tu amekubali... huna haja ya kumwambia nakupenda coz anakuwa ameshakuelewa!

Mmm, hujui kama zamani ulikuwa huna kitu cha kuwapa?
 
30's wanapenda RAV4 ile mbaya!
Nimeachwa mm kwa sababu nimeshindwa kumnunulia RAV4 bana!30's ladies are very demanding!

Wenye 20's wao hawana gharama kabisa!Mwanamme inatakiwa kwanza uwe na kagari hata kama tu ka Vitara then vaa nguo za kubana kama za mwanamuziki diamond na uwe na ka laki 1 tu ka kunywa savana mkiwa mnaongea Landmark Hotel kabla hamjajitosa ndani kugegedana!

I will prefer 20's kwani hawana gharama kuliko hawa wa 30's ahahahahaha
 
Subiri ujitambue kwanza; kwa sasa unahisi umekua kumbe bado.
 
moto2012 wewe na Preta mmeshamalizana kumbe? big up sana

Mahusiano ya dhati ni kama Mvinyo vile, Mahusiano ya kizushi ni kama soda!!

I enjoy the long standing and everlasting relationship/love with Preta, a.k.a mama Patricia (Kijacho)
 
Last edited by a moderator:
Mahusiano ya dhati ni kama Mvinyo vile, Mahusiano ya kizushi ni kama soda!!

I enjoy the long standing and everlasting relationship/love with Preta, a.k.a mama Patricia (Kijacho)

Hivi wachina hawawezi kupunguza umri lara 1 ?
 
Last edited by a moderator:

Mhhh! inategemea hapo kwenye red huwa unaingia kwa gia gani ukijifanya wewe ndo mpanga safari wa Kikwete popote anapo enda unapaswa kupofolewa mzinga wa Rav4 lakini ukijikamatia wa 40s hawanaga mambo hayo. Hao watoto wadogo wa 20s wasumbufu sana na si waelewa kanaweka kukupigia hata usiku umelala na mkeo
 
Ngoja nifikishe hiyo 40 yako ndipo nikakapoweza kukubaliana na kukataliana na wewe kwa kutumia experience yangu mwenyewe. Maana nimepitia 20s na sasa hivi niko kwenye 30s na kwa mengi kama si yote nakubaliana na mchungaji Kaizer kwa muda huu.
 
Last edited by a moderator:
hujajua umri wenye nanihiiii kwa sana na wa kufika kileleni bado
kama vipi omba mwongozi wa spika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…