Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Wanakera sana Mkuu.
dunia duara, wanaume walikua zamani siku hizi wanafight na wanawake, wanashindana kila kitu,
Anapigwa bila sababu wanawake wa zamani huwezi mkuta anajibizana hovyo hovyo na mmewe.
Mahusiano yako hatua ya kwanza tu mizinga kibao,tumejuana hata wiki haijaisha umekula kuku zangu na bia za kutosha baada ya 6/6 nikakutoa na hela ya uchakavu ya kutosha ndani ya siku mbili anakupigia cm akiomba laki ya saloon,mh!!!
Mwanaume ukiwa hovyo utaoa mwanamke wa hovyo
Mwanaume ukiwa wa hovyo mkeo atakujibu hovyo tu
Hovyo lazima iwe na hovyo ili ikamilike
Enzi zile mwanamke amepigwa na mumewe analia, akisikia tu hodii hodiii haraka sana anajifuta machozi na kuanza kucheka, wa siku hizi mbona ataenda kulilia kwa jirani ili dunia nzima ijue kapigwa au huyooo mahakamani. Hebu sasa tutumie uzi huu kutaja matendo ya wamama wa zamani ya kishujaa kama hili nililolitaja ili hawa watoto wa siku hizi kina miss neddy, DEMBA, mama la mama, miss chagga na wengine wajifunze.
Unyanyasaji ni ushujaa? Wanamme wanakwisha.
Wanaume wa siku izi ni wanaume suruali akinyimwa hela na mwanamke ananuna na kususa kama wangu ni jana tu nimemtolea nje kuhusu hela leo kanuna mbaya na mimi nimesema potelea mabali anune mpaka apasuke
Mwanamke wa Zamani alikuwa ni Msiri sio Mpayukaji kama wa sasa,alikuwa mtihifu na mtitii kwa mumewe,ACHEPUKI HATA KIDOGO hapa natoa mfano kwa Mama mdogo wangu,ambaye mume wake alienda kenya kutafuta maisha alikaa miaka 9 bila kuwa na taarifa nae sisi tukajua kafa,gafla akaonekana kenya tuenda kumchukua alikuwa na Maisha safi huko,cha ajabu Mke wake alikaa kwa baba mkwe akilea watoto na kufanya kazi huku akilea watoto na alikuwa na adabu ile mbaya na uhakika ajawai kusaliti Ndoa yake,Mpaka leo wapo na wote mambo safi,Mke mwema hutengeneza familia nyema juzi mwanae kaolewa alipomaliza chuo Mume wake kaja katoa Sadaka kwa kumkuta BIKRA,BABA MDOGO UMEPATA MKE HONGERA SANA
Kuna wanaodhani kupiga wake zao ni ushujaa... wanahisi inawapa hadhi
Wanaume wa siku izi ni wanaume suruali akinyimwa hela na mwanamke ananuna na kususa kama wangu ni jana tu nimemtolea nje kuhusu hela leo kanuna mbaya na mimi nimesema potelea mabali anune mpaka apasuke
wa siku hizi hata uwahonge vipi bado watatamani nje, tamaa sana wanawake wa siku hizi, hawaridhiki.
ndo maana hata kuolewa imekuwa tabu sana na ukiolewa ndoa haichukui muda chali.