Wanawake walikuwa zamani

Wanawake wa zamani walikuwa wanatunza familia wenyewe.
 
Wanaume wa zamani hawakua mashoga kama wa siku hiziiiii wanaume wachacheee jamaniiii

hii ni vita sasa, ila sijashangaa ndo wanawake wa siku hizi mwanaume akiongea naye anajibu ndo huyu Dinazarde.
 
Last edited by a moderator:
Zamani ni zamani tu wanaume walikuwa wanaonea wanawake wanapga kimya tofauti na sasa mwenyewe huwezi nionea nipga nikuache imposible

ndo maana hata kuolewa imekuwa tabu sana na ukiolewa ndoa haichukui muda chali.
 
mwanamke ni yuleyule tu hakuna wa zamani wa mpya
 
Wanaume walikuwa enzi hizo walijua majukumu yao ...decision making..kuwafikisha wake zao

Wanaume wa siku hizi chipsi yai...kulia lia tu hawana hela za kuhonga..

wa siku hizi hata uwahonge vipi bado watatamani nje, tamaa sana wanawake wa siku hizi, hawaridhiki.
 
Sikuwahi kuona babu yangu akiongea jambo la kumkwaza mkewe mbele ya watoto,ila wanaume wa sasa unatoka huko hujali chochote unaanza kuporomosha maneno kwa mkeo,.unafikiri kutakua na ustahamilivu hapo?
 
zamani walikuwa na hela za kuhonga?

Walikuwa wanatoa cos walijua ni jukumu lao kutake care ya mkewe now days ukiomba hela atakutangaza mtaa mzima eti umemfanya buzi or ATM card
 
Wanawake wa zamani walikuwa wanatunza familia wenyewe.

kweli mkuu, ila mwanaume ilikuwa anatoa mashamba na ng'ombe wa kulima na kumjengea nyumba wmanamke na watoto wake.
 
utandawazi ndo chanzo cha mabadiliko kwa wanawake wa leo.
 
Sikuwahi kuona babu yangu akiongea jambo la kumkwaza mkewe mbele ya watoto,ila wanaume wa sasa unatoka huko hujali chochote unaanza kuporomosha maneno kwa mkeo,.unafikiri kutakua na ustahamilivu hapo?

wanawake zaman unamtongoza mwez mzima na bado anakuzungusha lakin sasa hvi mnafahamiana hapohapo na anakuvulia nguo hapo hapo tena bila hata ya kutongoza
 
Mkuu kweli wanawake walikuwa zamani, siku hizi unapata mchumba siku ya pili tu anaanza mizinga ya ajabu ajabu mara vocha, hela ya saloon, sijui mchango wa birthday bila kuregard mtu una uwezo gani kiuchumi.. Yani wanaboa sana.
 
Unampiga mkeo halafu unajiita mwanaume?????

Kama una nguvu sana si ukapigane na wanaume wenzio? Au kachukue jembe ukalime?
 
wanawake zaman unamtongoza mwez mzima na bado anakuzungusha lakin sasa hvi mnafahamiana hapohapo na anakuvulia nguo hapo hapo tena bila hata ya kutongoza

Zamani unatongoza mwaka mzima kupewa game mpaka miezi au mpaka uvizie mtoni ameenda kuchota maji upige ka fasta tena amesimama ila wa siku hizi unatongoza asubuhi mchana anakuja mwenyewe gheto mimi nawaita maharage ya Mbeyamaji kikombe kimoja.
 
Mkuu kweli wanawake walikuwa zamani, siku hizi unapata mchumba siku ya pili tu anaanza mizinga ya ajabu ajabu mara vocha, hela ya saloon, sijui mchango wa birthday bila kuregard mtu una uwezo gani kiuchumi.. Yani wanaboa sana.

Wanakera sana Mkuu.
 
Haki sawa hujasikia siku hizi midume ndo inadundwa ingawa ni kimya2 sana.
 
Last edited by a moderator:
Unampiga mkeo halafu unajiita mwanaume?????

Kama una nguvu sana si ukapigane na wanaume wenzio? Au kachukue jembe ukalime?

Anapigwa bila sababu wanawake wa zamani huwezi mkuta anajibizana hovyo hovyo na mmewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…