Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Ughonile bhana @Elli
Tunaishi maisha mafupi saaaana, usitake ubebe mizigo isiyobebeka! We live once! Kama starehe yako ni pombe, go for it, kama ni ngono Tena kwa mtu unayempenda, usijizuie talk! Kama starehe yako ni kutafuta pesa, Aaghh tafuta day and night, kama starehe yako ni kusafiri kama Mimi, fanya, Mimi naweza kuamka anytime nikaondoka, I enjoy being alone. Sehemu tulivu, mashambani! Last time I drove usiku Mzima alone Dar to Kyela.... Ndio starehe yangu!
 
pombe kamwe haimuachi aliyeitumia salama,lazima iombe msaada kwenye tuta tu...
Mimi mwenyewe nikimtaka mdada,lazima nijue kwanza anatumia kilevi? kama anatumia basi mimi nguvu yangu naimarisha kwenye kulipa bill ya bia na nyama tu...90% kazi inakuwa imeishakwisha😀😀😀
Umenena vema,siku hizi usihangaike kutongoza.Jua tu anakunywa mwalike kinywaji.muda ukifika atatoa tu ushirikiano
 
Nimekuja

Nimeshangaa sana hiyo kauli. Anaokutana nao ndio wapo hivyo. Nakunywa hela yangu sijazoea offer za kijinga unanipata wapi kwa mfano. Wanaokunywa pombe za kunuliwa wanarudisha fadhila hizo kwa kujirahisisha.

Kuna wanawake unawakuta bar wanapata drinks zao hadi mwanaume anaogopa kuwasalimu acha kutongoza.
Wanawake wengi wanapenda kitonga.Wale wanaojimudu wenyewe kwa hela yao atleast wapo safe side.Ila wale wa best nitoe leo na bia mbili wale hamna kitu.Ndo hao hao wanaogegedwa peku
 
Back
Top Bottom