Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atleast umekuwa mkweli mkuu
Tunaishi maisha mafupi saaaana, usitake ubebe mizigo isiyobebeka! We live once! Kama starehe yako ni pombe, go for it, kama ni ngono Tena kwa mtu unayempenda, usijizuie talk! Kama starehe yako ni kutafuta pesa, Aaghh tafuta day and night, kama starehe yako ni kusafiri kama Mimi, fanya, Mimi naweza kuamka anytime nikaondoka, I enjoy being alone. Sehemu tulivu, mashambani! Last time I drove usiku Mzima alone Dar to Kyela.... Ndio starehe yangu!
 
aisee
 
Ebu shangaaa we si utakuwa kuku sasa kila ukilewa unataka kukulwa
niwe mkweli ht mm nikilanduka huwa napenda kudance had nichoke then kulala.. unaraha gan ww uanze kuwaza sex jaman...ah..labda km upo na unayemfeel[emoji4]
 
Back
Top Bottom