Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
Mi nikipewa uthibitisho kuwa pombe imetegenezwa kwaajili ya wanaume nitaacha kunywa, otherwise ni kelele tu Kama kelele nyingine
😁😁😁wanawake bakini majumban kwrnu jaman mlee ndoa😏
Mi nikipewa uthibitisho kuwa pombe imetegenezwa kwaajili ya wanaume nitaacha kunywa, otherwise ni kelele tu Kama kelele nyingine
Hahahaha Mkurugenzi nimekusoma! Migodi ya chumvi shurti uwe na Mwenyeji! Dah akuelekeze njia vizuri kabisa!
Hata huku mtaani kwetu yupo Nguruwe mwenye MabawaMbona huku mtaani kwetu yupo mlevi sana tu, lakin hachepuki
Hlf wao wakienda kunywa wanywe peke yao? Imagine mtu anaenda bar anakuta madume matupu itakuaje? Ndio mwanzo wa kunaniliuana[emoji16][emoji16][emoji16]wanawake bakini majumban kwrnu jaman mlee ndoa[emoji57]
Hlf wao wakienda kunywa wanywe peke yao? Imagine mtu anaenda bar anakuta madume matupu itakuaje? Ndio mwanzo wa kunaniliuana
Yule shetani anayewapitia huwa anaishi kwenye pombe.
Ndo ukutune kinywajini na wanawake ambao waume zao wana sukari, hawajaburuzwa muda mrefu lazima ujibebee.
Demi miss yu af nna zawadi yako ya christgmass[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimechekaaa
Teh..nitakuja kuchukuaDemi miss yu af nna zawadi yako ya christgmass
Uwahi basi mama maana foleni nik kubwa afu wwe ndio my first priority sasa fanya uwahi.Teh..nitakuja kuchukua
UsijaliUwahi basi mama maana foleni nik kubwa afu wwe ndio my first priority sasa fanya uwahi.
Hongera sana dada...hata mimi napenda kifanya kitu nonachajiskia furaha...anda i hate most kuiga maisha ya mtuTunaishi maisha mafupi saaaana, usitake ubebe mizigo isiyobebeka! We live once! Kama starehe yako ni pombe, go for it, kama ni ngono Tena kwa mtu unayempenda, usijizuie talk! Kama starehe yako ni kutafuta pesa, Aaghh tafuta day and night, kama starehe yako ni kusafiri kama Mimi, fanya, Mimi naweza kuamka anytime nikaondoka, I enjoy being alone. Sehemu tulivu, mashambani! Last time I drove usiku Mzima alone Dar to Kyela.... Ndio starehe yangu!