Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Nimekuja

Nimeshangaa sana hiyo kauli. Anaokutana nao ndio wapo hivyo. Nakunywa hela yangu sijazoea offer za kijinga unanipata wapi kwa mfano. Wanaokunywa pombe za kunuliwa wanarudisha fadhila hizo kwa kujirahisisha.

Kuna wanawake unawakuta bar wanapata drinks zao hadi mwanaume anaogopa kuwasalimu acha kutongoza.
 
😂😂😂😂👌👌👌👊👊 mm pia sina mazoea ya kununuliwa naenda bar nikiwa gado na atakayetokeza kununua asiniharass kuhamia meza yake😏maana hawakawii kuanza kukuuliza unachat na nan😁
 
Back
Top Bottom