Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

sasa hadi kufikia mpango wa kunywa bia na mimi ,tayri akilini kuna jambo,labda kama wewe ni komba basi.😛😛😛😛😛,ila najua bia ikishakaa kichwani ,kila kitu kinajiachia tu automatic
Narudia tena sio kweli....sio wanawake wote mkuu!

Labda kama unachukua vya lasaba B[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... kuna siku hubby alinipa mtoko..kumbuka hana mazoea sana y kunipaga out..nilijikuta nakunywa kwa hasira sijui..sijui nn nn kilinipata..sikulewa akafu nikawa nakunywa kwa kukomoa[emoji23][emoji23][emoji23] ikabid aulize mbn hulewi ww unajifunzia wapi kunywa pombe?moyon nikasema makosa ni yako n its too late... ss hv htk kbs kunitoa..nakunywa madesperado ht 8 huko..yy anakunywa za 1800[emoji23][emoji23].mm natwanga za 4000 alaa!
Ahaaaahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....napenda uchizi wako tuu
 
Narudia tena sio kweli....sio wanawake wote mkuu!

Labda kama unachukua vya lasaba B[emoji23] [emoji23]
😀😀😀😀 wittness we unantafuta uchokozi tu,hata mimi sijasema wote. hao la saba b ni wanajinsia gani kwani???
 
hahahahahaaaa...we wa ajabu kweli basi. sasa zinashukia wapi??? we wakukuangalia vizuri...hujatulia best...😛😛😛😛😛
Huyo demu noma...namkubali kinoma coz mkweli
 
NASEMA IVI WEE KAMA NI MWANAUME MNYWAJI.
USIJE KUTHUBUTU KUOA DEMU MLEVI.
.
Tena ukiona demu anakuambia anatumia Pombe, mapema badilisha malengo ulokua umemuwekea , kutoka ktk ndoa mpaka matumizi binafsi.

Sikatai madem awe mnywaj au hanywi kua hagongwi.

Ila hawa WALEVI , ni mapazia!!

Ndio maana , asilimia kubwa ya madem wanywa pombe kwa 25--35 yrs , ni Hawajaolewa , wameolewa wakaachika., kama yupo kwa ndoa, Anagongwa mno nje !!! .


nakubaliana na wewe asilimia mia.maisha ni safari ndefu nakumbuka msemo wetu wa ujana yaani ''3K.yaani KULA ,KUNYWA,NA kuto.Bwa.
 
Back
Top Bottom