Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

HUYOOOOOOOOOOOOO HAPOOOOOOOOOOOOOOOO HAYA IONYESHE KUKU SASA

DrRVtPYWoAAi7pD.jpg
DrRVtPYWoAAi7pD.jpg
 
mimi nnavyojua ni kuwa ukiona mwanamke ana jeuri ya kwenda bar mwenyewe na kununua bia,huyo ana jeuri pia ya kuamua mwanaume gani amlale/achepuke naye.
ila walau ukiona mwanamke anaenda bar na mtu wake au mumewe huyo walau kiasi cha kuchepuka ni kidogo. na mwisho wale wanawake ambao wao wanajua sana kupiga simu na kuomba ofa ya bia,hao ndiyo rahisi kuliko hata unga wa ngano.. za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom