Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

Hahaha!.. Mi mzma sana! Naiman we pia uko poa!..vp na wewe hutafuti kiserengeti? Nna young bro hapa...lol..
hahahaha! Unataka na mimi nilalamike 'niache na uzee wangu, niache' kweli hunipendi sweetldy.
 
hahahaha! Unataka na mimi nilalamike 'niache na uzee wangu, niache' kweli hunipendi sweetldy.

Aisee mi loves you sana, ila sasa nataka hii sredi ya the boss tuifanye kwa vitendo zaid ili tujue ukwel uko wapi!..lol.
 
Aisee mi loves you sana, ila sasa nataka hii sredi ya the boss tuifanye kwa vitendo zaid ili tujue ukwel uko wapi!..lol.
sredi ya the boss inatania tu, ipo mmu kwa muda...Hako kaserengeti ngoja kakue kue kwanza.
 
Ukiulizwa Ulikuwa wapi utajibu nini mkuu maana the older the best...mhhhhh mie naogopa kufundishwa uwanjani....
 
ukiulizwa ulikuwa wapi utajibu nini mkuu maana the older the best...mhhhhh mie naogopa kufundishwa uwanjani....

kama vor
alivyosema hapo juu
ni kama wine hivi...wanazidi utamu as days go...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…