Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

hatudeki jamani complication tu za homon hizo. mkeo akiwa na mimba ndo kipindi cha kuonesha mapenzi kwake we mdekeze ataman kubeba tena co mtu anahifungua akikumbuka maudh ulompa akiwa mjamzito anataman kufunga kisazi. kuweni wavumilivu mieztisa c ming.
 

Mkuu nitavumilia unajua ukishajua chanzo ni nini haikupi shida sana ingawaje chamoto tunakipata.
 

Mhhhhhh..
 
Anitaaa!
 
Mara nyng ni miez mitatu ya mwanzo mimba changa inasumbua sana
 

Ndugu yangu huyu unaye mpongeza namshauri amshukuru Mungu kwa hali nzuri anayokuwa nayo ktk kipindi cha ujauzito kwani kila ujauzito unakuja kwa staili yake,mimi mida hii ni mjamzito kila ninachokula ni shida nakifurahia kwa muda baada ya hapo naagiza kingine bajeti vuruvuru ikifika jion ukipiga mahesabu ya vitu nilivyonunua na kuonja kidogo kidogo shida.
 
Mabeki tatu na wanafunzi wakibeba mimba wanakomaa nayo kimya kimya bila kusumbua mtu, hawa walio kwenye ndoa ndio wana hizo sera za mimba kutaka mafenesi saa nane usiku!
 
Amekushitukia utahamia kwa Housegirl yeye akatangulia kuweka kauzibe
 

Da ila mateso hayo jamani ila umesikika
 
Nilishavaa sana mashati na t-shirt nyeupe ili aridhike siku nikivaa rangi nyingine panachimbika,sisahau nililala nje na baridi la Mbeya kisa ndani harufu ya sofa inamfanya atapike na mwendo ulikua kupaka baby care tu haaahaaa inakera ila ina raha yake maana ndani ilikua kama kuna wehu wawili,mbaya zaidi akapata miscarrige mwishoni sana bado naitamani ile hali ila Mungu hajabariki mpaka leo na muda mrefu umepita.
Hongera mkuu Mungu awaongoze wewe vumilia tu yataisha ila navitamani viatu kama vyako.
 
Mabeki tatu na wanafunzi wakibeba mimba wanakomaa nayo kimya kimya bila kusumbua mtu, hawa walio kwenye ndoa ndio wana hizo sera za mimba kutaka mafenesi saa nane usiku!

Mwingine anasumbua kweli wakati mimba yenyewe kapewa na mwingine yaani analeta drama za kichawi mchana kweupe.
 

Pole sana mummy.Nakuombea kwa MUNGU ujifungue salama.
 

yani usiku huu wa saa kumi nimecheka kwa nguvu kama jinni!
 
Ni hali ya kawaida,mi kipindi changu sikutaka kuongea na mwenzangu hd najifungua. Yaan nilikuwa nahisi km donge fulan limenikaba rohon hivyo nafuu yangu ilikuwa ni kutomsemesha. Alikuwa anataman sn kuongea na mm ila ndio hivyo na ht nilipokuwa namjibu basi badae ntahangaika sn kwa kutapika.

Thanks God now mtoto wetu ana mwaka na miezi 6 ila baba ndo hayupo tena......dah kwakweli Mungu ana makusudi yake,hamu yote ya mtoto aliyokuwa imepotea km ndoto. Apumzike kwa amani!
 

Yesu wangu, imenifanya niumie! Pole sana mshkaj wangu!
 

Mungu ana sababu zake mkuu..kama ipo ipo tu! Kesho kuila leo ni uroho!..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…