Ha ha ha usithubutu ndugu, kama hataki kukulipa we mwache tu aende zake. Tenda wema nenda zako usingoje shukraniAisee hawa viumbe ni changamoto sana,kesi yako ni kama yangu ila kwangu badala ya kunilipa pesa anataka anilipe mapenzi indirect
Unajua angelita, sikujua kama atafikia mahali hapo, lakini mimi nimetenda wema, singoji shukurani kutoka kwake. Namheshimu kama dada, na sikutaka afike hapo alipofika!Hayo mazoea ulimjengea mwenyewe tangia mwanzo.
Hawa viumbe wee acha tu!, hata katika majukumu ya kawaida huwa nakaa nao makini sana. Maana wanaweza amua lolote mda wowote, tunavumilia kwasababu ya Utanzania wetu tu basiHa ha ha, mkuu umenifurahisha sana. Mungu atusaidie!
Sasa nimekimbia hata akipiga simu namwambia nipo mbali sana, basi huanza pitia pale supermarket niletee nini sijui.....majibu yangu ni SIJATEMBEA NA HELA....kidogo imeniokoa ametuliaMkuu hyuo dada alitaka akufilisi, hlf hawa wanawake baadhi yao sijui wapoje, yaani hawaoni aibu kabisaaaa kumwomba mwanaume hela, bora hata cc wanaume kuazima hela 2 kutoka kwa dem ambae ni rafiki yako unaona aibu Dundo_Boy
Wako na njia nyingi, akikupokea mzigo anaweka kwake ili asisumbuke kukuomba, ha ha haaaahDuh! Kumbe tuko wengi me mwenyewe ninapokaa kuna mwalimu anafundisha chekechea katoka uganda nikiludi usku nimeto mishe zangu akisikia nimefika hata kama yumo ndani atatoka haangalie nimebeba nn yani ni shida hawa viumbe imefikia nikiludi usiku naingia gheto kwakunyata. Eti ananisahauli nisioe kwanza ataniletea binti kutoka uganda niishi nae kudadadek
Nataka nilete mwenzie akae hata wiki moja alafu akishaondoka nimdai kila kitu alichochukua ndani kwangu, na pesa arudishe maana namdai nyingi tu. Angalau akiona mwenzie akiwa anatoka ndani mara anafua nguo mara anadeki najua atatulia na ataacha tabia yake..........Hii plan ikiferi nitamwambia nikiwa na sura ya KIUME KABISAAisee... unamzoesha... na hayo mazoea yatafika pabaya sana. Sasa ww kama mwanaume... mpe makavu... mwambie arudishe vitu... vyako.
Ukiwaendekeza itakula kwako, watakutia pressure na watakutia umaskini. Dawa yao ni kuwaendesha kijeshi jeshi.Ha ha ha Chiwaso usiwafanyie hivo, hawa ni viumbe dhaifu inatakiwa kuishi nao kwa akili
Naanza kukuelewea Miss Shimboni. Kumbe ndivyo mlivyoooooooooooooooooooooooo. Aaaahhhh Sorry, ndivyo walivyoHa ha ha alijua ipo siku atalipa in kind... kwanza hapo ananuna kwa mengi moja hujamtongoza mbili anahisi umepata demu anamubudumia tatu hujampa pesa na mengine mengi
Mkuu, nikaona sasa amezidi, ukimpa harudishi.Alikua anakutumia huyo! Urafiki wa mashaka. Afadhani ulimnyima
achana na waganda watakufilisiDuh! Kumbe tuko wengi me mwenyewe ninapokaa kuna mwalimu anafundisha chekechea katoka uganda nikiludi usku nimeto mishe zangu akisikia nimefika hata kama yumo ndani atatoka haangalie nimebeba nn yani ni shida hawa viumbe imefikia nikiludi usiku naingia gheto kwakunyata. Eti ananisahauli nisioe kwanza ataniletea binti kutoka uganda niishi nae kudadadek
hao ndivyo walivyoNaanza kukuelewea Miss Shimboni. Kumbe ndivyo mlivyoooooooooooooooooooooooo. Aaaahhhh Sorry, ndivyo walivyo
Kumbe haimooooooooooukipata boya jipigie, sasa huyo alikuona wewe boya akitekenya tu imooooooo