kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 517
- Thread starter
- #41
Yaani, ni balaa!Bora huyo kanunia pesa.. wengine wanakununia na sababu hujui ni nini...
Yaani, ni balaa!Bora huyo kanunia pesa.. wengine wanakununia na sababu hujui ni nini...
Ha ha ha, mkuu umenifurahisha sana. Mungu atusaidie!Hawa viumbe hatari sana, mm yupo mwalimu tumezoeana sasa anaingia ndani kama kwake vile kisa kajua bado sijapata wifi, basi kaja kabeba mtungi wa gesi eti hajawahi kuniona nikipika, kabeba na baadhi ya vyombo vya mapishi....yaani mm naandaa kumleta bibie ili akute kuna kila kitu yeye anahamishia kwake. yeye ana mtoto ila hana mume, yaani shida aisee....kuna chenji nawekaga mezani sasa akifika nazo anakomba, akikuta juice anabeba hata kama bado sijafungua yaani hata kama sijanywa hata glass moja yeye anabeba. Wadau wakanishauri tumalizane naye lakini nimekataa maaana atanifanya baba wa mtoto wake na itakuwa shida. HAWA VIUMBE HAPANA AISEE!!!! Pole sana ndg yangu, kumbe tupo wengi
Mtolee nje... alaf weka barrier... asikuletee mazoea..Hawa viumbe hatari sana, mm yupo mwalimu tumezoeana sasa anaingia ndani kama kwake vile kisa kajua bado sijapata wifi, basi kaja kabeba mtungi wa gesi eti hajawahi kuniona nikipika, kabeba na baadhi ya vyombo vya mapishi....yaani mm naandaa kumleta bibie ili akute kuna kila kitu yeye anahamishia kwake. yeye ana mtoto ila hana mume, yaani shida aisee....kuna chenji nawekaga mezani sasa akifika nazo anakomba, akikuta juice anabeba hata kama bado sijafungua yaani hata kama sijanywa hata glass moja yeye anabeba. Wadau wakanishauri tumalizane naye lakini nimekataa maaana atanifanya baba wa mtoto wake na itakuwa shida. HAWA VIUMBE HAPANA AISEE!!!! Pole sana ndg yangu, kumbe tupo wengi
Mkuu Sky Eclat, unajua wakati mwingine mwanamke huwa tunamuonea huruma na kumsaidia, sasa yeye ukishamsaidia mawazoni mwake anafikiri kuna kitu unahitaji kutoka kwake, kumbe hakuna chochoteMkuu wewe hujaisoma namba, una pesa mpaka za kulipia watoto wa wateja school feez, kulipia vicoba na pesa ya matumizi tena wala hutongozi.
Sasa alivoninuna ndo kanipa nafasi ya kuwa mbali nae.Mtolee nje... alaf weka barrier... asikuletee mazoea..
Aaa jamani, tena!Mtafune huyo
Mazingira gani mkuu?Tatizo ww ulishajenga mazingira ya namna hiyo
Siku hizi nikitoka job, siwashi taa alafu ndani sikaagi. Nafika na kutoka narudi usiku, hadi nafikiria kutafuta nyumba nyingine ndugu yangu, swala ni kwamba vitu alivyohamishia kwake nitamdaije? maana vingine vina mwezi na zaidi na hana mpango wa kurudisha, yeye akifika anaangalia nimeongeza kitu gani ili abebe. Tunapishana bafuni wala hana time kabisa, dahh!! Shida nduguMtolee nje... alaf weka barrier... asikuletee mazoea..
atakuwa lizi1 huyuMkuu wewe hujaisoma namba, una pesa mpaka za kulipia watoto wa wateja school feez, kulipia vicoba na pesa ya matumizi tena wala hutongozi.
Hawa viumbe wee acha tu!, hata katika majukumu ya kawaida huwa nakaa nao makini sana. Maana wanaweza amua lolote mda wowote, tunavumilia kwasababu ya Utanzania wetu tu basiHa ha ha, mkuu umenifurahisha sana. Mungu atusaidie!
Viumbe hai wanawakeviumbe gani?
Hawa viumbe hatari sana, mm yupo mwalimu tumezoeana sasa anaingia ndani kama kwake vile kisa kajua bado sijapata wifi, basi kaja kabeba mtungi wa gesi eti hajawahi kuniona nikipika, kabeba na baadhi ya vyombo vya mapishi....yaani mm naandaa kumleta bibie ili akute kuna kila kitu yeye anahamishia kwake. yeye ana mtoto ila hana mume, yaani shida aisee....kuna chenji nawekaga mezani sasa akifika nazo anakomba, akikuta juice anabeba hata kama bado sijafungua yaani hata kama sijanywa hata glass moja yeye anabeba. Wadau wakanishauri tumalizane naye lakini nimekataa maaana atanifanya baba wa mtoto wake na itakuwa shida. HAWA VIUMBE HAPANA AISEE!!!! Pole sana ndg yangu, kumbe tupo wengi
Ha ha ha alijua ipo siku atalipa in kind... kwanza hapo ananuna kwa mengi moja hujamtongoza mbili anahisi umepata demu anamubudumia tatu hujampa pesa na mengine mengi
Duh! Kumbe tuko wengi me mwenyewe ninapokaa kuna mwalimu anafundisha chekechea katoka uganda nikiludi usku nimeto mishe zangu akisikia nimefika hata kama yumo ndani atatoka haangalie nimebeba nn yani ni shida hawa viumbe imefikia nikiludi usiku naingia gheto kwakunyata. Eti ananisahauli nisioe kwanza ataniletea binti kutoka uganda niishi nae kudadadekHawa viumbe hatari sana, mm yupo mwalimu tumezoeana sasa anaingia ndani kama kwake vile kisa kajua bado sijapata wifi, basi kaja kabeba mtungi wa gesi eti hajawahi kuniona nikipika, kabeba na baadhi ya vyombo vya mapishi....yaani mm naandaa kumleta bibie ili akute kuna kila kitu yeye anahamishia kwake. yeye ana mtoto ila hana mume, yaani shida aisee....kuna chenji nawekaga mezani sasa akifika nazo anakomba, akikuta juice anabeba hata kama bado sijafungua yaani hata kama sijanywa hata glass moja yeye anabeba. Wadau wakanishauri tumalizane naye lakini nimekataa maaana atanifanya baba wa mtoto wake na itakuwa shida. HAWA VIUMBE HAPANA AISEE!!!! Pole sana ndg yangu, kumbe tupo wengi
Aisee... unamzoesha... na hayo mazoea yatafika pabaya sana. Sasa ww kama mwanaume... mpe makavu... mwambie arudishe vitu... vyako.Siku hizi nikitoka job, siwashi taa alafu ndani sikaagi. Nafika na kutoka narudi usiku, hadi nafikiria kutafuta nyumba nyingine ndugu yangu, swala ni kwamba vitu alivyohamishia kwake nitamdaije? maana vingine vina mwezi na zaidi na hana mpango wa kurudisha, yeye akifika anaangalia nimeongeza kitu gani ili abebe. Tunapishana bafuni wala hana time kabisa, dahh!! Shida ndugu