Hawa viumbe hatari sana, mm yupo mwalimu tumezoeana sasa anaingia ndani kama kwake vile kisa kajua bado sijapata wifi, basi kaja kabeba mtungi wa gesi eti hajawahi kuniona nikipika, kabeba na baadhi ya vyombo vya mapishi....yaani mm naandaa kumleta bibie ili akute kuna kila kitu yeye anahamishia kwake. yeye ana mtoto ila hana mume, yaani shida aisee....kuna chenji nawekaga mezani sasa akifika nazo anakomba, akikuta juice anabeba hata kama bado sijafungua yaani hata kama sijanywa hata glass moja yeye anabeba. Wadau wakanishauri tumalizane naye lakini nimekataa maaana atanifanya baba wa mtoto wake na itakuwa shida. HAWA VIUMBE HAPANA AISEE!!!! Pole sana ndg yangu, kumbe tupo wengi