kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 517
- Thread starter
- #21
Tena!Si umle
Tena!Si umle
Arudishe kwanza alizokuwa amenikopa, vinginevyo atakuwa amenipunguzia mzigo!Ha ha ha alijua ipo siku atalipa in kind... kwanza hapo ananuna kwa mengi moja hujamtongoza mbili anahisi umepata demu anamubudumia tatu hujampa pesa na mengine mengi
Ungejilipa kwa namna gani kaka!Kaka Hapo Nadhan mi ningejilipa mapema sana...ili akili imkae vizur
Hapana mkuu, unajua ukimpa mtu, hiyo unakua umempa lakini akija kukopa ukimpa inabidi arudishe, sasa kama anakopa harudishi utaendelea kumpa?Sasa kama ulikua ukimpatia hela harudishi na umekua ukiendelea kumpatia kwanini uache ghafla tu? Au labda ulikua unasubiria akupe k kama fadhila afu mwenyewe ndo hana habari...
Kaka Hapo Nadhan mi ningejilipa mapema sana...ili akili imkae vizur
Mi nauliza kwa wengine kama inakuwa hivo!Hayo maneno ya kwenye aya ya mwisho ungemwambia mhusika ungekua umemsaidia sana aisee wewe kama unahisi kuna sehemu haiko sawa
Hapana mkuu, sina mpango huo!Ha ha ha ha wewe una mpango wa kumgegeda?
Basi hiyo ndiyo sababu ya kununiwaHapana mkuu, sina mpango huo!
wala hujakosea umemsaidia sanaLabda nisaidie kwa hapo shunie, nakosea?
Mkuu achana naye. Kwani anakupunguzia nn?Itabidi alipe kwanza alizopewa, ndo apewe bila hivo atakuwa amenipunguzia matatizo
Unapesa za mchezo manWana jamii
Kuna mwanamke mmoja nimezoeana nae sana kwa issue za kiofisi, lakini huwa tunapiga story mbalimbali kama dada yangu ambaye namuhushimu sana na pia kama mteja na yeye mara nyingi huwa anakuja ofisini kwangu kwa ajili ya huduma mbalimbali. Kwa kweli tumezoeana sana
Wakati mwingine anakuja, ananiambia nina shida sina pesa ya ada kwa ajili ya mtoto, huwa nampa. Mara ooo sina pesa ya matumizi nampa. Mara nikopeshe pesa kwa ajili ya kupeleka VICOBA, huwa nampa na wala harudishi.
Sasa juzi kaniomba nimkopeshe pesa, na anadai kuwa atanipa baada ya mwezi mmoja, mi nikamwambi kwa sasa pesa sina, ningekuwa nayo ningekupa. Nimefanya hivo kwa sababu najua nikimpa tu ndo imekwenda hiyo, hairudi tena.
Tulipoonana, naona mtu kanuna wala hataki kunisalimu kabisa. Nkajiuliza ina maana tatizo ni pesa? Hapo sina mahusiano naye kabisa ya kimapenzi, ingekuwa hivo si anaweza kunitoa roho!
Hivi wanawake hiyo ni tabia yenu mpaka mnajisahahu kana kwamba imefikia mahala rafiki tu kiume unamfanya kama mpenzi wako jamani au mmeo?
MKUU NAKUELEWAHa ha ha alijua ipo siku atalipa in kind... kwanza hapo ananuna kwa mengi moja hujamtongoza mbili anahisi umepata demu anamubudumia tatu hujampa pesa na mengine mengi
Nashukuru mkuu, nimekuelewa!Mkuu achana naye. Kwani anakupunguzia nn?
Wala usimfuatilie sbb hawa viumbe huwa hawachelewi kukupa kesi.
Akienda kwa mumewe akamwambia ulikuwa una mtongoza. Unaweza kujitetea?
Ukiendelea kumfuatilia sana, atakupa kesi ya ubakaji, utaozea jera mkuu.
Kwani pesa kitu gani mkuu, ushahonga pesa ngapi?
Hawa viumbe ni wazuri sana na wabaya sana.
Hapana boss, nilikuwa namsaidia kama dada yangu tu!Unapesa za mchezo man