Wanawake wakati mwingine, hapana jamani!

Mkuu wewe hujaisoma namba, una pesa mpaka za kulipia watoto wa wateja school feez, kulipia vicoba na pesa ya matumizi tena wala hutongozi.
 
Ha ha ha, mkuu umenifurahisha sana. Mungu atusaidie!
 
Mtolee nje... alaf weka barrier... asikuletee mazoea..
 
Mkuu wewe hujaisoma namba, una pesa mpaka za kulipia watoto wa wateja school feez, kulipia vicoba na pesa ya matumizi tena wala hutongozi.
Mkuu Sky Eclat, unajua wakati mwingine mwanamke huwa tunamuonea huruma na kumsaidia, sasa yeye ukishamsaidia mawazoni mwake anafikiri kuna kitu unahitaji kutoka kwake, kumbe hakuna chochote
 
Mtolee nje... alaf weka barrier... asikuletee mazoea..
Siku hizi nikitoka job, siwashi taa alafu ndani sikaagi. Nafika na kutoka narudi usiku, hadi nafikiria kutafuta nyumba nyingine ndugu yangu, swala ni kwamba vitu alivyohamishia kwake nitamdaije? maana vingine vina mwezi na zaidi na hana mpango wa kurudisha, yeye akifika anaangalia nimeongeza kitu gani ili abebe. Tunapishana bafuni wala hana time kabisa, dahh!! Shida ndugu
 
Huwa nikimkopesha mwanamke nafikiriaga kwanza namna ya kureplace.
 
Ha ha ha, mkuu umenifurahisha sana. Mungu atusaidie!
Hawa viumbe wee acha tu!, hata katika majukumu ya kawaida huwa nakaa nao makini sana. Maana wanaweza amua lolote mda wowote, tunavumilia kwasababu ya Utanzania wetu tu basi
 

Mkuu hyuo dada alitaka akufilisi, hlf hawa wanawake baadhi yao sijui wapoje, yaani hawaoni aibu kabisaaaa kumwomba mwanaume hela, bora hata cc wanaume kuazima hela 2 kutoka kwa dem ambae ni rafiki yako unaona aibu Dundo_Boy
 
Ha ha ha alijua ipo siku atalipa in kind... kwanza hapo ananuna kwa mengi moja hujamtongoza mbili anahisi umepata demu anamubudumia tatu hujampa pesa na mengine mengi

Na nyinyi bhana tukiwatongoza shida, tusipowatongoza shida...basi ni karaha tupuu miss chagga
 
Duh! Kumbe tuko wengi me mwenyewe ninapokaa kuna mwalimu anafundisha chekechea katoka uganda nikiludi usku nimeto mishe zangu akisikia nimefika hata kama yumo ndani atatoka haangalie nimebeba nn yani ni shida hawa viumbe imefikia nikiludi usiku naingia gheto kwakunyata. Eti ananisahauli nisioe kwanza ataniletea binti kutoka uganda niishi nae kudadadek
 
Aisee... unamzoesha... na hayo mazoea yatafika pabaya sana. Sasa ww kama mwanaume... mpe makavu... mwambie arudishe vitu... vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…