Wanawake waJF na michezo

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Wanawake walioko JF kama wanachama kwa mtazamo wangu naona si wakujichanganya sana uku jukwaa la michezo. Sababu ni nini? Hope FL1, MJ1, Nyamayao, ZD, bht, carmel, Vera City, Irene V etc mtajibu hili kwa uhakika
 
Uchokozi huo binamu,sisi mambo ya ulijendi yamepita kushoto kidogo,Preasure zilizopo kwenye sihasa na michezo ya nchi hii,zimezidi.kwa hiyo sisi tuna relax tu kule kwenye MMU.
Ukija huku kila mara majibizano na aibu za kufungwa kwa taifa staz.Na kama unavojua sifa kuu ya mama ni upendo na huruma ndio maana tunawafundisha watu wawe na upendo kule kwenye MMU.Wakiiva kule kwenye familia tuna uhakika watakuwa viongozi wazuri na wanamichezo wazuri.
 
umemaliza ZD!!
 
Wakati wanakuwa naona hara lede, netball au kimama mama hawakucheza kabisa ndo maana hawataki micho.
 
Wakati wanakuwa naona hara lede, netball au kimama mama hawakucheza kabisa ndo maana hawataki micho.

mpwa uchokozi huo yaani sisi hatkucheza hata kimama basi tumekuwa tina 'tana'
 
ha haa michezo ya tz inaboa tupo kama hatupo vile... yaani ubabe ni humu humu wenyewe kwa wenyewe tu, tukitoa tu kichwa nje tunarudishwa na konzi la utosini...aaggrrhh!!

subiri tushinde kombe moja la kimataifa muone tutakavyochangia humu ndani...
 
mpwa uchokozi huo yaani sisi hatkucheza hata kimama basi tumekuwa tina 'tana'
Halafu nasikia kama hukucheza,lede,kimamamama na kibabababa wakati wa utoto huwa inajirudia ukiwa mkubwa,eti lazima ucheze hata kama una watoto.Hivi kuna ukweli hapa?
 
mtu mzima alianza kurudia ya utoto ambayo hakuyafanya lol! ZD anashangaa!! precedent ndo huyo bi mkubwa Tina
ckukuelewa my dia,kumbe haya mambo ni kweli? hebu nipe details hutu tina tana ilikuwaje?
alianza kucheza kimamamama?
 
Wadada na Wamama wa JF kweli mmejitetea lakini bado hamjaniridhisha na sababu za nyie kutokutia timu sana hapa kwenye jukwaa hili. Karibuni mfanye mazoezi na kupunguza uzito, hapa ndio penyewe. Kwa mfano ukiwa shabiki wa Arsenal/Man U/ Chelsea/Liverpool n.k na kuwa mchangiaji hasa pale unapofungwa ni zoezi tosha hasa kutokana na vijembe na matani kutoka kwa mashabiki wapinzani.
KAribuni sana
 
Back
Top Bottom