daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 873
hata mimi man PESA nooo...ila kuziacha BAR kwa ajili ya chakula na vinywaji wala sioni shida ila R.O.E(return on investment) ni lazima.MR/MU=MCBinafsi naona ni hali ya kawaida tu, maana nipo tayari kumnunulia chochote kile ila sio kumpa PESA.