Wanawake waja na mbinu mpya za uchunaji

Wanawake waja na mbinu mpya za uchunaji

ndio maana najengaga urafiki wa kudumu na house girl.Sina gharama za gesti,sijui lunch na nin na nin,hata mia tano ya dawa ya penzi siingii gharama.Kizuri zaidi toka kwao "hawajatumika" kama wasichana wenu!watoto wazuriii status ya kazi zao ndio zina washusha thamani.
 
Nimegundua wanawake wengi siku hizi wanachuna kwa style ya kuomba offer za lunch said:
taaaaaabu kweli kweli ! :embarrassed1: hivyo navyo vya kununuliwa au kujinunulia? nauliza?
 
taaaaaabu kweli kweli ! :embarrassed1: hivyo navyo vya kununuliwa au kujinunulia? nauliza?

wewe bwana ndo hao hao. Hivi hata ku quote upewe darsa??


mnnh! Basi kuwe na user manual ya JF.
 
du, kila zama na mbinu mpya uchunaji!! tukimbilie wapi bandugu? maana hawa wanawake sasa naona wameamua kukaba hadi penalti!!




Acheni kulalamika!! Hamjui kuwa wanaume mmeumbwa matesooooo matesooo kuhangaika........





Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
mizinga ni swala la kawaida katika maisha nawe uwe mjanja jinsi ya kuwapotezea (ishi nao kwa akili) ila ikizidi sana inakuwa kero,
 
Back
Top Bottom