Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 17,588
- 41,557
Ile hapana nimekataa 🤣🤣🤣Si nimeshaweka ko hujaiona 😂
Umenifundisha ko zako
Ko umegoma kuweka?
Ile hapana nimekataa 🤣🤣🤣Si nimeshaweka ko hujaiona 😂
Umenifundisha ko zako
Yaani mpaka utheeme 🤣🤣🤣Si ushajua ndio maana 😥
Nmekataa wapi nioneshe?😥Yaani mpaka utheeme 🤣🤣🤣
Wewe si umekataa? Ulikua unapima kina cha maji kwa mguu??!!
Ko unajifanya hujaiona 😂Ile hapana nimekataa 🤣🤣🤣
Ko umegoma kuweka?
Alafu ukishaolewa niishije ishije 😂🤣🤣🤣🤣 Ntakuchapa emu acha niolewe kwanza. Unajua wafupi tuna balaa zito kwenye uwanja wa fundi seremala!! 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Muhimu sanaHahahahaha, tusome maoni, Kipenzi,nimeipenda mada
Jf wote warefu kasoro Lamomy 😂Sioni wakijitokeza kuthibitisha hili,, ina maana sisi wote humu warefu sio 😃🧐🧐
1. Ukipendwa na shotii ndio imetoka hiyooEti Wanawake wafupi ndiyo watu wenye uvumilivu kwenye mahusiano na wanajuwa kupenda kweli?
Tuko woteMuhimu sana
Hata Sijui nimejikuta nasema tu😁😁Hahahahahaha,eti shotii nungayembe ,hahahahaha, huyu anakuaje sasa, kipenzi
Hahahaha, ndio raha hiyoVinang'ang`ania Ivo 😁
Nimefanyaje Tena jamaniHahahahahahaha,Kipenzi bhana
Mwafulani yuko hivyo ee😁😁Mbona kama umemtaja fulani wangu 😋
Hahahahahaha,Kipenzi ,nimekumithi, na ule ubabe wako,hahahaha , uko poa sana KipenziHata Sijui nimejikuta nasema tu😁😁
🤣🤣🤣🤣 Yani nimecheka khaa!!Nmekataa wapi nioneshe?😥
Ni wivu ndio utakaokukondesha ndugu yanguWatu wafupi:
1.Watata.
2.Wabishi.
3.Jeuri.
4.Gubu na Visirani.
Wamba Tena Ngoma tuone😁.
Kipenzi,sina cha kusema ,ujueNimefanyaje Tena jamani