si afadhali ya kujichukulia sheria mkononi badala ya tembo mbugani?kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi
si afadhali ya kujichukulia sheria mkononi badala ya tembo mbugani?
Assist to make it a hoja.................hii ni hoja nyingine
Hao vijana wanavunja sheria. Waadhibiwe vikali kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu
wanaitwa makatikista na wachungaji na kina BABA UPAKO!
wanafanana kama hawa!
YAANI HAPO JUU BADO WANJA NA KIPOCHI TU KWAPANI UNABEBA JUMLA!
teh teh teh teh! Kina anti joseph hao!
Hivi wewe unapovaa nguo unamvalia mtu au unajivalia mwenyewe?
Hayo ni mabaibui??!!
Na yale ya kubana wanajifunika mpaka usoni mnaitaje?!
Huu ni upuuzi na haupaswi kuendekezwa...
Mtu anapovaa nguo anajivalia mwenyewe, hamvalii mtu...
Hata shetani alitumia Biblia kutaka kumshawishi Yesu afuate matakwa tofauti na Mungu, hivyo nawe wafanye vile alivyotaka fanya Lucifa