wanawake wa TZ hawajui kupenda ila wanawivu

wanawake wa TZ hawajui kupenda ila wanawivu

Wanasema zigo la mwenzio kanda la sufu. Unahisi kama haelemewi hivi
The grass is always greener on the other side.

Kuna wanaume wa nchi nyingine wanaona wanawake wao hawajui kupenda kama wa Tanzania.
 
kama wanaume wa ki-TZ tu, ukisikia kakwambia au kakutumia message ya I love you unastuka roho inaenda mbio kama umepata massive heart attack!

wenyewe wanadanganyana eti mwanamke ukimuonesha unampenda atakuletea mapozi.... tuulize wanandoa mara ya mwisho kuambiwa hilo neno lini tusikie. ukionesha kumpenda mtu na kumjali nae lazma atakujali.
 
Wanaume wa kitanzania hakuna kitu......mnataka nyie mpendwe.......nyie mnapenda kwa dhati......?.....nyooooo......heri niliamua kumuwahi mMongolia wangu.......
 
Wee vipi? wanawake wa TZ hatujui kupenda ila wivu kibao????rafiki unasikiliza taarifa za habari na kusoma magazeti? umeshawahi sikia mwanamke kamtwanga mume/boyfriend risasi au kata miguu??:shocked::eyeroll1:
 
...yaani kaka kama hayo uliyoyaandika hapo ndio yamekutokea/yalikutokea, basi amini usiamini, wewe hapo ulipo, HUPENDEKI!
 
Nimejalibu, inchi, zati,
baazi... hivi hao mademu wa nje umewajulia wapi ikiwa lg yako yenyew
tatizo?

Amehadithiwa na walioko nchi nyingine wanaojua kupenda wanawake zao!
Yeye anangoja muujiza ushuke apate wa kumtumia msg za mapenzi tu ataridhika kabisa
 
ingawa sio wote nimejalibu kuangalia tofauti na wanawake wa inchi zingine wao wanajua kupenda kwa zati watakutumia msg za mapenzi watakuliwaza nk.lakini baazi ya mademu wa kibongo hata kutuma msg za mapenzi hawajui, kukuliwaza hawajui,wanachojua ni kukutukana matusi makubwa mkikorofisha na kujiapiza kwamba siku nikikufumania utajua mimi ni nani? huo sio upendo.

Umenigusa mkuu
 
Aaah kumbe kupenda kwa zati... Mimi nilijua kupenda kwa dhati...
 
da!ukweli mke akiwa na wivu ana bogha sana maana sio kupenda tena ni majanga tu.
 
ingawa sio wote nimejalibu kuangalia tofauti na wanawake wa inchi zingine wao wanajua kupenda kwa zati watakutumia msg za mapenzi watakuliwaza nk.lakini baazi ya mademu wa kibongo hata kutuma msg za mapenzi hawajui, kukuliwaza hawajui,wanachojua ni kukutukana matusi makubwa mkikorofisha na kujiapiza kwamba siku nikikufumania utajua mimi ni nani? huo sio upendo.
Kajipange uje ukuiwa thabiti
 
mi mwenyewe namshangaa!! Hajakutana na wewe DEMBA Embu amuulize Kaizer kwanza!!

hahaha nilikuwa najiuliza Munkari ananiitia nini, kumbe kuna dogo anajifunza mapenzi huku? wala hawezi kukutana na baby yangu DEMBA.....mambo ya sms za kuliwazana....ndio mapenzi? khaaa
 
Last edited by a moderator:
ingawa sio wote nimejalibu kuangalia tofauti na wanawake wa inchi zingine wao wanajua kupenda kwa zati watakutumia msg za mapenzi watakuliwaza nk.lakini baazi ya mademu wa kibongo hata kutuma msg za mapenzi hawajui, kukuliwaza hawajui,wanachojua ni kukutukana matusi makubwa mkikorofisha na kujiapiza kwamba siku nikikufumania utajua mimi ni nani? huo sio upendo.

eeehhh wewe kaka haujui nini maana ya kupenda. Kukuandikia msg za mapenzi zitakazo kuliwaza sio maana yake ndio anakupenda kweli. Wengine wanakuandikia tu ili kukuliwaza sio eti wanakupenda kweli. Mwanamke akikuitaji sana au kama anania ya kuku use basi anajifanya kama anakupenda vile, na nyie wanaume wengine akili zenu fupi ndio munaamini.

Mwanamke akifikia hatua ya kukutukana au kukuambia akikufumania utakiona, basi jua haujiheshm. Yaani tabia yako ni chafu. Alikupenda kweli, ila hakukuamini, yaani wewe mwenyewe ndio tatizo.
Mwanamke hatukani mwanamme anae jiheshim.

Binadam wote ni sawa, haijarishi awe mbongo au atoke nchi ingine. Jaribu kuchafua kwa uyo wa nchi za nje, yatakukuta yale yale.
 
hahaha nilikuwa najiuliza Munkari ananiitia nini, kumbe kuna dogo anajifunza mapenzi huku? wala hawezi kukutana na baby yangu DEMBA.....mambo ya sms za kuliwazana....ndio mapenzi? khaaa

baby nadhan kuna umuhimu wa kuingiza hili somo la mapenzi katika syllabus zetu mashuleni. nadhan hii itasaidia pia kupunguza vifo visivyo vya lazima (vikiwemo vya kujinyonga na kupigana risasi)
cc Munkari
 
Last edited by a moderator:
ingawa sio wote nimejalibu kuangalia tofauti na wanawake wa inchi zingine wao wanajua kupenda kwa zati watakutumia msg za mapenzi watakuliwaza nk.lakini baazi ya mademu wa kibongo hata kutuma msg za mapenzi hawajui, kukuliwaza hawajui,wanachojua ni kukutukana matusi makubwa mkikorofisha na kujiapiza kwamba siku nikikufumania utajua mimi ni nani? huo sio upendo.

Umesomeka afandeeeeeeee............over!!!!!!ila inabidi urudi depo afande
 
Back
Top Bottom