Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,048
Tanzania kuna wanawake warembo I see asikuambie mtu. Naamini ina warembo kuzidi nchi yoyote East Africa. Mtu atakuja,oooh...! Rwanda.
Hao wanaokuwa kama warwanda wamo humu Tz yaani mpaka unaweza usiamini. Achana na hao akina wema mliowazoea,kuna wasichana warembo humu vijijini ogopa.