Wanawake wa Tanzania ni warembo sana

Swet-R

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
5,613
8,043
Tanzania kuna wanawake warembo I see asikuambie mtu. Naamini ina warembo kuzidi nchi yoyote East Africa. Mtu atakuja,oooh...! Rwanda.

Hao wanaokuwa kama warwanda wamo humu Tz yaani mpaka unaweza usiamini. Achana na hao akina wema mliowazoea,kuna wasichana warembo humu vijijini ogopa.
 
Tanzania kuna wanawake warembo I see asikuambie mtu. Naamini ina warembo kuzidi nchi yoyote East Africa. Mtu atakuja,oooh...! Rwanda. Hao wanaokuwa kama warwanda wamo humu Tz yaani mpaka unaweza usiamini. Achana na hao akina wema mliowazoea,kuna wasichana warembo humu vijijini ogopa.
Tembea tu mkuu ujionee, tz kwenda rwanda,burundi,kenya na ug haizid hata milioni 2 kwa bus na lodge ndani ya 2 weeks
 
Tanzania kuna wanawake warembo I see asikuambie mtu. Naamini ina warembo kuzidi nchi yoyote East Africa. Mtu atakuja,oooh...! Rwanda. Hao wanaokuwa kama warwanda wamo humu Tz yaani mpaka unaweza usiamini. Achana na hao akina wema mliowazoea,kuna wasichana warembo humu vijijini ogopa.
Ni kweli kabisa naunga mkono hoja japo wengine watakuja kupinga
 
Back
Top Bottom